Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 811
- 1,312
Hakuna uzuri wowote kwakweli. Pa kawaida sana vumbi mpaka ugokoni.Halafu MTU akatae bukoba pazuri ukichanganya na ile hali ya hewa na vijiji vizr vyenye migeto waliofika ni mashaidi
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Nimeskia habari za julianaIla kuwa makini mzee kuna juliana huko.
The mint daah. Nlikuepo Jan mkuuNilikuwepo Bukoba apo katikait ya mwezi huu
Aisee sijawahi kuona mji wenye barabara zenye 'one way restriction' kama Bukoba mjini....nilipigwa faini za kutoshaaaa
Kama ni mgeni usijaribu kuendesha gari Bukoba mjini!!
All in All,the Mint sitapasahau...nilipata raha zoteee anazostahili kijana aliekamilika
AjaaaMaweeeeeeee!
Aisee poa mkuu, mi niko hapa sky since huzi
Kuna moja hapo ilikosesha ndoo nzima ya sato. jamaa alikula bata akaahirisha safari kilichofuata aliniletea harufu tu ya samaki . Shikamoo BKHapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....
Kwa Maeneo ya kuvinjari ni pamoja na;
1. Bukoba Club (hapa kuna ulimi WA kuchoma hatarii sana)
2. Coffee Tree
3. Casanova (jioni kuna live band)
4. Umura Rocks (nje ya mji kidogo)
5. Police Mess
6. Linaz
7.The Mint Club ( Club ya kisasa kuliko zote BK)
8. The Liquid Club ( Upande mmoja live band, upande mwingine disco)
9. Smart Hotel ( iko karibu na Airport)
10. The Rock (kwa Kitimoto choma)
11. Paradise Pub (hapa kuna Kitimoto hatari sanaaa Tanzania nzima hakipo)
12. Spice Bar (iko ziwani)
13. Yassira Hotel (iko ziwani, kuku choma safi sana)
14. Kolping Hote (Sizler ya Kitimoto ipo ila bei juu kidogo)
15. BCD Stella Hotel (hapa swimming ipo)
Usiondoke bila ku practice katerero! Hapo Liquid na The Mint wanakuwepo wa kutosha, bei chee kabisa na hawajui kuibia wateja.
Nyegera waitu Mnyamahanga!
The mint daah. Nlikuepo Jan mkuuView attachment 880287
Hii club ni shidaa kuna pembeni ñyingine inaitwa liquid nayo mmm bukoba kwa upande burudani ni muruaThe mint daah. Nlikuepo Jan mkuuView attachment 880287