Acha uongo the mint ni club ya starehe sio gest wala hotel acha kuongea vitu usivyovijua na kutusi miji ya watuAsante sana mkuu, nilikua the mint leo na kweli nikang'oa goma, View attachment 879842View attachment 879843
Mji wa bukoba na vitongoji vyakeHapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....
Kwa Maeneo ya kuvinjari ni pamoja na;
1. Bukoba Club (hapa kuna ulimi WA kuchoma hatarii sana)
2. Coffee Tree
3. Casanova (jioni kuna live band)
4. Umura Rocks (nje ya mji kidogo)
5. Police Mess
6. Linaz
7.The Mint Club ( Club ya kisasa kuliko zote BK)
8. The Liquid Club ( Upande mmoja live band, upande mwingine disco)
9. Smart Hotel ( iko karibu na Airport)
10. The Rock (kwa Kitimoto choma)
11. Paradise Pub (hapa kuna Kitimoto hatari sanaaa Tanzania nzima hakipo)
12. Spice Bar (iko ziwani)
13. Yassira Hotel (iko ziwani, kuku choma safi sana)
14. Kolping Hote (Sizler ya Kitimoto ipo ila bei juu kidogo)
15. BCD Stella Hotel (hapa swimming ipo)
Usiondoke bila ku practice katerero! Hapo Liquid na The Mint wanakuwepo wa kutosha, bei chee kabisa na hawajui kuibia wateja.
Nyegera waitu Mnyamahanga!
yeye hajasema hiyo the mint ni gesti..Kang'oa demu kaenda kupiga lodge plus katerero hope umeona ushaidi..hahhahaAcha uongo the mint ni club ya starehe sio gest wala hotel acha kuongea vitu usivyovijua na kutusi miji ya watu
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Hivi umeelewa mzee nlichoandika? Nimesema nling'oa the mint au nlilala the mint? I doubt your level of literacyAcha uongo the mint ni club ya starehe sio gest wala hotel acha kuongea vitu usivyovijua na kutusi miji ya watu
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu, jamaa ni mzito kuelewa aiseeyeye hajasema hiyo the mint ni gesti..Kang'oa demu kaenda kupiga lodge plus katerero hope umeona ushaidi..hahhaha
Hivi jaman katerero ni nini wakuu?Utujie na mrejesho wa katelelo
Katerero ni nini??Hapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....
Kwa Maeneo ya kuvinjari ni pamoja na;
1. Bukoba Club (hapa kuna ulimi WA kuchoma hatarii sana)
2. Coffee Tree
3. Casanova (jioni kuna live band)
4. Umura Rocks (nje ya mji kidogo)
5. Police Mess
6. Linaz
7.The Mint Club ( Club ya kisasa kuliko zote BK)
8. The Liquid Club ( Upande mmoja live band, upande mwingine disco)
9. Smart Hotel ( iko karibu na Airport)
10. The Rock (kwa Kitimoto choma)
11. Paradise Pub (hapa kuna Kitimoto hatari sanaaa Tanzania nzima hakipo)
12. Spice Bar (iko ziwani)
13. Yassira Hotel (iko ziwani, kuku choma safi sana)
14. Kolping Hote (Sizler ya Kitimoto ipo ila bei juu kidogo)
15. BCD Stella Hotel (hapa swimming ipo)
Usiondoke bila ku practice katerero! Hapo Liquid na The Mint wanakuwepo wa kutosha, bei chee kabisa na hawajui kuibia wateja.
Nyegera waitu Mnyamahanga!
Katerero ni nini??Angalia usije ukatekwa na katerero?
Katerero ni nini??yeye hajasema hiyo the mint ni gesti..Kang'oa demu kaenda kupiga lodge plus katerero hope umeona ushaidi..hahhaha
Kwa hali kama hiyo, kinga a.k.a Condom imetumika kweli ?Asante sana mkuu, nilikua the mint leo na kweli nikang'oa goma, View attachment 879842View attachment 879843
Nayaona "e matooke "!πππ
Naisikiaga tu!! mimi ni Mnyalu mkuu Iringa MojaKaterero ni nini??
Tembelea pande za bukoba utapata kuijua na kuweza kusimulia uliyokuta huko.!!Hivi jaman katerero ni nini wakuu?
We nambie tuTembelea pande za bukoba utapata kuijua na kuweza kusimulia uliyokuta huko.!!
SquirtWe nambie tu
Ila kuwa makini mzee kuna juliana huko.For the first time ever, wakuu wa huku, usiku wapi pana happen?View attachment 878506View attachment 878507View attachment 878511
Katerero ni kijiji ambacho kina gulio amazing. Kwani hujasoma kile kitabu siku ya gulio katerero?Katerero ni nini??