Bukoba: CHADEMA yamvua uanachama diwani wa kata ya Hamugembe baada ya kushikwa na rushwa aliyopewa na CCM ili aunge mkono juhudi hewa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kamati tendaji ya CHADEMA(w) manispaa ya Bukoba, imemvua uanachama na nyadhifa zake zote ndg Muhaji Kachwamba aliyekuwa diwani wa kata Hamgembe.

Hii ni baada ya kujiridhisha pasipo mashaka kwamba amepokea na amenaswa na mtego wenye chambo cha kuunga mkono.

uwanachama.jpg
 
Hivi ni kweli Watanzania wote zaidi ya Millioni Hamsini ukiondoa CCM hatuna cha kufanya kukomesha vurugu hizi zinazofanywa na Polepole na kundi lake la ma "goon"?
 
Hii sasa nimeipenda ilitakiwa hivi Kwa Mpuuzi mmoja hivi wa Dar
 
Hii political stunt ili kuyazuia mafuriko ya wamachama wao kuhamia CCM,hiyo barua inainekana imeandikwa haraka haraka.

Haitasidia kuzuia mafuriko ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom