Bukima imeripotiwa kuangukia mkononi mwa M23

Nliona jana hii documentary yake, Walikodi wauaji kutoka Rwanda /Uganda kwa US Dollar 20,000 kama skosei kumuua jamaa
Duuuh! mi nina uhakika kuna wanufaika wa mapigano hayo,nje ya DRC na ndani.
 
Kazi za hawa watu zinategemea mambo mengi yatokanayo na hali nzima ya nchi.

Kama uozo umetapakaa sehemu zote usitegemee hizi ulizotaja hapa ndiyo ziwe imara na tofauti na kwingine.

Wakuu wa huko wanateuliwa, au siyo? Weye unadhani kama wateuliwa wanashika nafasi zao bila ya 'merit', sehemu hizo zitaendelea kuwa imara kama unavyodhani wewe?

Uozo ukianzia kichwani huenea kwingine kote.
Unajua lolote kuhusu tiss na jwtz!?...na hofu yako inatoka wapi?
 
Baadhi yetu tunapenda kusifiasifia sana,mi naona tuje tupigane na nchi yoyote kwenye hizi zama,tujue uwezo wa JWT kama ni overrated au labda iko sawa na majirani zetu kama UG au Kenya.
 
Fact.
 
PK akifanikiwa kuipasua Kongo then atahamia Kyerwa na Karagwe huyu.
Acha kua na Mtazamo huo. Paul kagame anahangaika na yeyote, anaye haribu au kijalibu kuchezea amani ya Nchi anayo iongoza. hata hivyo sio mchokozi napindi anapo chokozwa hujipa mda.

Tanzania, haijawahi kujihusisha na kijalibu amani ya Rwanda .hivyo huna sababu yoyote ya kuwaza hivyo.
 
Nliona jana hii documentary yake, Walikodi wauaji kutoka Rwanda /Uganda kwa US Dollar 20,000 kama skosei kumuua jamaa
Wapuuzi sana,kuna wakubwa wa jeshi humohumo congo hawapendi vita viishe.
Wanaoumia wananchi.
Na vita hawaviwezi tuseme ukweli tu
 
Washenzi tu hao wacha wachapwe..
Col Mammadou Ndala alijitahidi sana kupambana na M23 akaishia kuuwawa na Mabosi wake.
Utamtegemea mtu mmoja kupambana na Waasi, hiyo haiwezekani. Ukweli ni kwamba Congo inahitaji kupelekwa Wanajeshi wa EAC wakakusanye silaha zote patatulia
 
Hivyo vitengo ni dhaifu sana kwa sasa, majirani Kenya, Uganda na Rwanda wako vizuri sana kwenye maeneo hayo ila Bongo kumebaki majigambo tu kwani kwenye kuongea tuko vizuri.
Umefanyaje tathmini ukajua Kenya,Uganda,rwanda wako vizuri na bongo hovyo,ukizingatia kazi hizo ni Siri!?
 
Baadhi yetu tunapenda kusifiasifia sana,mi naona tuje tupigane na nchi yoyote kwenye hizi zama,tujue uwezo wa JWT kama ni overrated au labda iko sawa na majirani zetu kama UG au Kenya.
Tupigane bila sababu!?
 
Utamtegemea mtu mmoja kupambana na Waasi, hiyo haiwezekani. Ukweli ni kwamba Congo inahitaji kupelekwa Wanajeshi wa EAC wakakusanye silaha zote patatulia
Kwanini unadhani wanajeshi wa EAC ndio wataweza kutuliza hali ya Drc ilihali askari wa UN takribani 17,000 wakiwemo wa Tz waliopo huko hawajaweza kutuliza?

Kumbuka kikosi Cha Monusco huko Drc ndio ujumbe ghali zaidi kwenye operation za UN duniani.
mtu chake babukijana
 
Hao UN ndio wanawalinda hao waasi kwa sababu wanajeshi was monusco hawaruhusiwi kushambulia mpaka order itoke huko UN.
 
Unajua lolote kuhusu tiss na jwtz!?...na hofu yako inatoka wapi?
Duh, Mkuu, 'Inamankusweke', naona unaanza kunitisha.
Sasa ngoja nami nikuulize swali hilo hilo: Wewe uamini wako katika vyombo hivyo unatoka wapi? Wewe ni mtaalam wa huko?

Duniani kote, nchi zote, hata hiyo DRC ukiwauliza juu ya vyombo vyao hivyo unavyonitishia navyo hapa watakwambia wao wako imara sana!
Kwa hiyo ninakuelewa unakosimamia. Hata mimi ningependa sana niwe upande wako, kwa sababu huo ndio wajibu wetu kama wazalendo wa nchi hii.
Lakini hili halina maana kwamba kuhoji na kuwa na mashaka, hasa kutokana na jinsi nchi yetu inavyozidi kuparaganyika, haina maana kwamba hatuitakii mema nchi yetu na kutopenda kuviamini vyombo vyetu hivi.

Hebu nijibu tu vizuri: Wewe wakati huu unayo imani kubwa juu ya Idara yetu ya Uhamiaji, kwa mfano. Kwa sababu maswala haya kama hili tunalochangia hapa sehemu kubwa sana linaanzia huko. Hao TISS na JWTZ kuingia kwao ni wakati hali imekwisha haribika kabisa, kama ilivyo sasa hivi huko Congo..
 
Hujui unachoongea,tiss kuingia waingie wapi na tiss IPO kila sehemu Hadi nyumba za ibada!!!..tz Ina resources nyingi tu deep ndani ya majirani,miongoni mwa vitu vilivyomuudhi kagame Hadi kuwa na chuki na tz na kikwete ni baada ya tz kupakua mzigo wa kutosha deep ndani ya intelligence ya rwanda kupitia vijana wa kitanzania wenye muonekano wa kitusi...ndani ya uhamiaji Kuna tiss,na mmoja alikua mwana japo tushazika...hoja yako ya nchi kuparaganyika inatoka wapi!?..kipi kinekuonesha kwamba nchi imeparaganyika!?..Somalia na Congo zitakuaje Kama tz imeparaganyika!?..acheni kuona nchi zingine Bora kuliko ya kwenu!!
 
Back
Top Bottom