Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,363
aichukue mara ngapi? Kaanza kwa kuchukua baadhi ya viongozi wa kisiasa, angalia wafugaji,,,,, then taratibu ataichukua kabisaNa Karagwe ya Tanzania. Hajapata nafasi tu!
aichukue mara ngapi? Kaanza kwa kuchukua baadhi ya viongozi wa kisiasa, angalia wafugaji,,,,, then taratibu ataichukua kabisaNa Karagwe ya Tanzania. Hajapata nafasi tu!
Na Tanzania ni kubwa sana. Umesahau alivyosema marehemu rais.....Kongo drc ni kubwa sana igawanywe.
Na Karagwe ya Tanzania. Hajapata nafasi tu!


rasmi tanzania itakuwa na mkoa mwingine mpya
Msisahau kwamba JF ina mataifa mengi si wote watanzania, ameandike kiswahili kile anajua yeye na yupo huru kukitumiaYaani Huyu aliye leta habari hii anaandika kama mtoto
Kuna watu humu JF walisema nchi za kiafrica zilikua na kiherehere kutafuta Uhuru mapema,Bora zingetawaliwa na Wazungu mpk huko 1990's ili ziwe Kama S/Africa tu.Wakongo tangu wamfukuze Mbelgiji hawajaishi kwa amani. Rasilimali zote walizonazo zinanufaisha wachache. Afadhali wangemuacha Mbelgiji atawale na ajenge miundo mbinu. Leo Kongo ingekuwa sawa na Afrika Kusini.
Unaweza ukawa sahihi; lakini siku moja atajitangazia moja kwa moja bila kificho tena!aichukue mara ngapi? Kaanza kwa kuchukua baadhi ya viongozi wa kisiasa, angalia wafugaji,,,,, then taratibu ataichukua kabisa
EEeeeenHeeee!rasmi tanzania itakuwa na mkoa mwingine mpya
![]()
Uandishi wake unaonesha si mtanzania ,inawezekana pia ni mkongo ila amejitahidi kufikisha ujumbe kwa kadiri ya uwezo wake.Tatizo ndugu yangu kiswahili kama kinakusumbua maana nakerwa hata kuendelea kusoma andiko lako
Safi kabisa watu wanafikiri kuwa watu wanaotumia jamii forum ni Watanzania pekee.Msisahau kwamba JF ina mataifa mengi si wote watanzania, ameandike kiswahili kile anajua yeye na yupo huru kukitumia
Si ajaribu tu tuone itakuajeNa Karagwe ya Tanzania. Hajapata nafasi tu!


wauni watavyo mgombania kama mpira wa konaKwani mama ndyo anaingia fieldEEeeeenHeeee!
Na nani, huyu Mama Mzinguo? Utakuwa unatania kwelikweli!


si ajaribu tu tuoneDuh!Si ajaribu tu tuone itakuajewauni watavyo mgombania kama mpira wa kona
Mkuu 'lugonopanija98', ni wazi wewe ni mgeni na haya mambo kutokana na jinsi unavyohoji hapa.Kwani mama ndyo anaingia fieldsi ajaribu tu tuone
huo mpango wa kuigawa drc ulikuepo na ukafaIgawanywe alafu wapewe kina nani ?...Ina maana suluhisho la kudumu baada ya serikali ya Drc kushindwa kulinda ardhi yake ni kuigawa kama peremende?
zitto junior mtu chake