Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
- Thread starter
-
- #61
yaani kuoa kwangu leo kumekuwa usanii? We subiri kadi yako ya mwaliko tuYaani wewe unachekesha mie nikanunue simu Ubungo stand nina wazimu ama kitu gani??? Haiwezekani ng'ooooo nakuheshimu ndo maana nilishangaa ulipoleta thread ya kisanii kubali yaishe umechemsha right????
nilimchukua na kuishi naye tu hatukufunga ndoa, sasa mwakaribishwa pilauLeo hiiSijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji
jibu swali la DA
Siamini najitolea kuwa floor manager na pia natoa na gari moja kusaidia usafiri.....Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
asante sana kwa mchango wakoSiamini najitolea kuwa floor manager na pia natoa na gari moja kusaidia usafiri.....naomba Best man awe YO YO na MC Awe malaria sugu ...am serious
Bujibuji: Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
Bujibuji:
Nimezodolewa na manesiMke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
Bujibuji unapotezea watu mda na post zako tafadhari!
Leo hii
Sijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji
Jichanganye uchange michango, umeumia!Anajidai hataki michango, buji bana!!Analetea watu wazima na akili zetu usanii hapa alah
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
Hata wewe unaoa??????
Kweli wanawake hawana macho kudadeki.
Leo hii
Sijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji