Bujibuji akutwa Amelala

gfsonwin:Dada angu sasa hapa mimi nashindwa kukuelewa inamaana unafurahia Bujibuji kuwa hivi ama,hebu nieleweshe mkuu wangu!!!!!!!!1

huoni namwonea huruma? ila alizidi ujue aliishia unywea ulanzi pale buguruni hela zote za mkopo?
 
Bujibuji angalia vijana wa Mjini wasijekukupitia hapo, alas, siku hizi wanasaula pia watakuacha na Bukta tu (kama unayo ndani)
 
amam badu hiyo Reli yenyewe inaonekana haitumiki, itakua ya Kwenda Tanga
 
ha ha hahaa aaaa! Bujibuji na familia yake wamo matatani. Pole Bujibuji ndio ya dunia hayo!
 
Bujibuji nakuonea huruma maana hawa watu wamikopo wanazidi hata jamaa wa bomoabomoa kwa sababu dah wanakuja na baunsa nene!!lazima kochi wanyanyue ila gfsonwin simshikaji wako kwanini usimpechumba kimoja kwenye ile guest yako uliyoukodi chumba cha mwaka??akaka angalau miezi 3! akili itakuwa imerudi mahali pake! Wewe unadhani Erickb52 atakugombeza??Mwenzio ananyumba pale sinza iko sipeisho kwa kazi maalumu na kodi analipa ohoo sorry nimeishatoboa siri nisamehe ila usimuulize!
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza usinipeperushie njiwa wangu, hayo mambo ya Erickb52 yanatokea wapi? Mimi na 2gfsonwin tutajua namna ya kulitatua tatizo langu la malazi. Kwanza tayari nina advantage ya kukimbiwa na mke, gfsonwin atareplace
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…