Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

How long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongo
usiagize Ebay agiza kupitia aliexpress
Aliexpress ukiagiza baada ya wiki mbili tuu unapata parcel yako
gtx 750ti bei yake aliexpress around 130000
Screenshot at 2019-05-09 03-37-14.png
 
Wataalam Nimefunga vifaa vyangu sawa...ila nikichomeka cable ya HDMI katika port ya GPU yangu niliyofunga Monitor haiwaki (No Signal) lakini nikichomeka ktk port ya onboard inakubali...nini shida Wakuu?? Nimejaribu kudisable Onboard graphics card lakini bado tatizo lipo pale pale...Msaada wataalam

CC Chief Mkwawa , The Great Wizard
 
1. Nenda kwenye bios angalia kama gpu ipo na kama umei enable itumike.

2. Unaweza pia kuangalia windows ikiwa on kupitia device manager
 
1. Nenda kwenye bios angalia kama gpu ipo na kama umei enable itumike.

2. Unaweza pia kuangalia windows ikiwa on kupitia device manager
Device Manager nimeangalia ina display only intel...ngoja nijaribu ku enable on bios
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom