Asiejulikana
Member
- Sep 10, 2017
- 33
- 10
Niaje wazee Hope mko poa!!
Kwa nyakati hizi za likizo nimeona bora nifufue Machine yangu hii niwe napiga games kusogeza muda kidogo.
Machine hii kama inavyoonekana uwezo wake sio powerful kihivyo kusukuma Game nzito na latest so nimeamua kufanya building kidogo kuiboost.
Binafsi nimepanga kuongeza Ram kwenda 8gb na pia kununua dedicated Card ya Nvidia GTX 670Ti/670 (2GB).
Kwa vile sio mtaalamu sana na haya madude naomba msaada wenu hapo kabla sijafanya chochote, Naomba mnipe mwongozo na mawazo yenu kipi cha kuongeza hapo ili nipige hizi latest games haswa Football (FIFA).
CC Chief Mkwawa , Trouble Maker na Wataalam wengineo