Bui buji ndani ya qunu


Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
753
Likes
5
Points
0
Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
753 5 0
Kaka umekaa kwa wapi mi niko huku mbele pembeni ya Prince Charles!!!!!!
 
N

Nebuchadnezzar

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Messages
212
Likes
3
Points
35
Age
46
N

Nebuchadnezzar

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2013
212 3 35
Ha ha ha ha ha!

Ni ile milioni moja yake aliyoshinda kwenye Pepsi ndiyo ameenda nayo?!
Bujibuji anavituko sana.
 
Last edited by a moderator:
Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
753
Likes
5
Points
0
Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
753 5 0
Ha ha ha ha ha!

Ni ile milioni moja yake aliyoshinda kwenye Pepsi ndiyo ameenda nayo?!
Bujibuji anavituko sana.
mi namtafuta Buji Buji simwoni, ukipata hii msg njoo huku mbele walipo kaa kina Prince Charles, pita huo upande kabisa wa kina Zuma unaweza pia ukawauliza nilipo.
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,898
Likes
10,114
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,898 10,114 280
Haaa ha ha laana hii qunu ndo wapi sitting kwa room
 
Lucas

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Messages
2,456
Likes
29
Points
145
Lucas

Lucas

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2011
2,456 29 145
Ah ah ah ah mkuu Nduka Original Bishanga.mko naye?
 
Last edited by a moderator:
riro23

riro23

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Messages
537
Likes
366
Points
80
riro23

riro23

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2013
537 366 80
Nakuona bujibuji umeshika maji ya kandoro vp ulienda nayo nn?
 
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
480
Likes
84
Points
45
Age
35
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
480 84 45
ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu jaman alafu bujibuji amevalia kimila hapa na mgorori wa kimasai,bujibuji bhana umetisha mkuu,cjakuona jamvin kumbe ulitangulia huku qunu,shuhul ikimalzika nikute hapa jukwaa kuu nipo jiran na Ritz mwana wa mkulu.
 
Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
753
Likes
5
Points
0
Nduka Original

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
753 5 0
Buji Buji kazuiwa kuingia aisee eti dress code haijakaa vizuri
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Mi nalala bana maana watu mnakesha humu,
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,405
Likes
7,469
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,405 7,469 280
Kwani aliambiwa kuna mazindiko huko bondeni.?
 
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
623
Likes
2
Points
35
Age
66
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
623 2 35
mkuu edit heding yako isomeke Bujibuji sio hii yako kuna watu wako makini kusahisha makosa humu nadhani taaluma zao ni ualimu,
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
mkuu edit heding yako isomeke Bujibuji sio hii yako kuna watu wako makini kusahisha makosa humu nadhani taaluma zao ni ualimu,
Bui buji... sina uhakika kama ni typing error au alikuwa anamaamisha Bujibuji, maana nasikia Bujibuji ndio aliyechinja ng'ombe wa mila aliyezikwa na Madiba
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
Kwani aliambiwa kuna mazindiko huko bondeni.?
Wee kamama una matatizo sana.
Mi sina neno ila nakuogopa kama ukoma.
Baada ya kuuua na kujiua kwa bastola sasa naona mmehamia kwenye kuchoma nyumba..... kisha UTAMU WA TUKUYU.
Mnachekesha sana, bora mje niwafanyie maombi, pepo wa wivu awatoke.
Wachagga wa zamani walikuwa na wivu wa pesa, Wachagga wa kizazi hiki wana wivu na viungo vya wenzao
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,318