Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,693
- 29,020
Mzuka wanajamvi!
Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa.
Buhari akizungumza kwenye Arize TV alisema usalama ni muhimu kwa uwekezaji nchini ambapo ukosefu wa ajira umepaa aslimia 33.
Buhari aliendea kusema hakuna yeyote anaweza kuwekeza katika mazingira yasiyo salama kwa iyo vijana nawata muwe na adabu na nidhamu kama mnataka ajira na kuajiriwa. Hakikisheni maeneo yenu ni salama hili muwavutie wawekezaji.
Nigeria imekumbwa na ukosefu wa ajira kwa miongo mingi na idadi kubwa ya watu. Lakini janga la Korona imezidisha hali kuwa mbaya zaidi.
Pia ndugu Buhari anashutumiwa kwa hali ya fujo kila kona ya Nigeria kwa vikundi vya wahuni na magaidi wenye silaha kuteka na kuua.
Buhari katoa onyo kali hatua madhubuti zitachukuliwa kuleta hali ya usalama Nigeria nakuwataka vyombo vya usalama wawe wakatili na wasiwe na huruma tena na kuwahakikishia wa Nigeria baada ya wiki chache zijazo maneno yake yatakuwa kweli.
"We have given the police and the military the power to be ruthless," he said. "And you watch it, in a few weeks time, there will be a difference."- Mwamba Buhari!