Buguruni: Sherehe yageuka msiba

Yaani nimekuja mbio kufungua hii Thread nikafikiri kuna tukio limetokea.

Kumbe ni HADITHI.

Haya Dr. Endelea na sehemu zilizobaki. Ikifika mwisho wa hadithi mimi nitakuja niisome yote.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ngoja nieleze kwa ufup mana watu washaanza maneno maneno. kiufupi jamaa alienda kwenye tukio la ujambaz supermarket, walikua wa4 wawil wakapigwa risasi na kufa hapohapo, na waliobak wakakimbia. kiufup kule sauz ili utoke lazma ufanye kaz 2, Ujambaz na madawa ya kulevya. otherwise uwe na professional.Kama huna yote hayo kashangae mataa urud. End of story.
 


Na mdogo wangu alitorokaga nyumbani akaenda south,nilikonda kwa mawazo na hadi anarudi sikuamini,South siyo kuzuri hata kidogo,ila ndiyo hivyo tena wabongo wabishi sana.
 

Aisee,hii post hapo juu yenyewe inaonyesha Buguruni ni sehem ya namna gani na watu wake.
Maana mmewazidi hadi Manzese.
Napenda niikute sherehe kubwa kama hii mfululizo Kinondoni.
 

Kama alikuwa na mtoto ana miaka 15 tena anaitwa Siyabonga,( neno la kizulu linamaanisha "asante" ) Basi huyo hakwenda sauzi mwaka 2009..Jipange upya.
 
Ni sehemu yenye ma.laya ktk kona nyingi za makazi ya watu;sehemu yenye watu wenye lugha chafu,makao makuu ya vibaka, mashoga,mashangingi, na wacheza ngoma za ovyo kila siku.Ni bugurun na kutetea ni ishara ya kukulia maeneo haya.

Kama ni nyoka umegonga kichwani
 

We uko south au buguruni?
 

Hebu fafanuwa hapo, na yeye alikuwa mmoja wa majambazi au?
 
Sasa kumbe unarudi palepale...umelalamika buguruni kumesemwa vibaya..kumbe marehemu kapigwa risasi kutokana na ujambazi.....!!!halafu ni mtoto wa buguruni...yale yale tu.
 
Buguruni oyeeee...buguruni noumaa ukikutana na vijana watano bas watatu kat yao wana ngeu kibao
 
Sherehe wiki nzima halafu tunalalamika ni kwanini sisi ni masikini.
 
Mleta mada kweli ni Dr. Wa buguruni, maana hii hadithi Yake Mara jamaa alikuwa anasubiriwa kufungisha ndoa Mara kauwawa kwenye ujambazi. Sijui lengo ni kumtetea marehemu au kuthibitisha yaliyosemwa na Grader.
 
Last edited by a moderator:
Hujaeleweka mwandishi.

Huyo Zena alikuwa anaolewa na mjomba wake yule Hamisi? Boikoko na mananda ni nini?
 
mkuu ctumii pc au laptop kutype natumia cm.

Na sisi pia tunatumia cmu kusoma sio laptop so kma huezi weka yote kaa kimya tu tuna nyuzi kibao za kufuatilia na sio hzo series zako tena za buguruni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…