Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,151
- 1,451
Mwamba amevurugwaYaan Buguruni/tandale/manzese/mwananyamala hizo sehem ziwe na mahali pametulia kweli uko serious ndg?
Unaweza kupata bikra kwenye ward ya wazazi kama kuna nesi bikraKaribu daslama ila tunasikitika kukwambia buguruni kupata eneo limetulia ni sawa na kutafuta bikra ward ya wazazi
Mnatokea Mbeya na mchumba wako au?Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location
Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana
Mbona pachafuu mnooo!Kitu pekee kilichotulia Buguruni ni lile daraja la wavuka kwa miguu...
Fika viwanja vya buguruni SPENCON pale hutajutiaNext nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location
Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana
dah umaskini unatupa tabu sana
Kavurugwa huyo.hauko serious buguruni itulie?wapii?ghana?malapa?rozana?kwa mnyamani?kwa biti madenge?au pale sheli?haipo ndugu yangu na labda izaliwe upyaa...
Mlongoo acha Kabisaa tuna kibanda kulecha urithiwatu wamevurugwa wallah, khaaah.
Kavurugwa huyo.
Nenda KibahaNext nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location
Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana