KERO Buguruni Madenge relini kuna wakabaji na wezi

KERO Buguruni Madenge relini kuna wakabaji na wezi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

P didi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
491
Reaction score
629
Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda.

Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari kufungua betri kwenye magari yaliyoegeshwa njiani kwa sababu mbalimbali.

Kuvunja magodown, kuchimba na kuharibu miundombinu ya chini ya Tanesco iliyoko eneo la Tazara kuelekea vingunguti, baadhi nitawataja kwa majina.

Ngosha mkubwa na mdogo, Muha kidari, Rama kikono, Mluguru, Hussein, Chuga skanka, Kidevu, Ijumaa iliyopita walikamatwa na askari Polisi katika eneo hilo.

Vibanda wanavyolala vikachomwa moto, wakapelekwa kituoni wakatoa kila mtu laki moja moja wakaachiwa siku ya tatu, siku hiyo hiyo wamerudi tena eneo hilo na wameanza kujenga tena

Tunaomba Polisi warudi tena kuwaondoa hapa wamekuwa kero kwa wapita njia na walinzi wa magodown.
 
Nafikiri ni uzembe na tamaa za Polisi ndiyo haswa tatizo la kushughurikia kabla ya kupambana na hao wezi.
 
Niko madennge hapa hapa muda huu nakula ugali na nyama ya kuchoma nakutana na huu Uzi 🤣
 
Kusingekuwa na vibaka ndio ingekuwa habari.
 
Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda.

Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari kufungua betri kwenye magari yaliyoegeshwa njiani kwa sababu mbalimbali.

Kuvunja magodown, kuchimba na kuharibu miundombinu ya chini ya Tanesco iliyoko eneo la Tazara kuelekea vingunguti, baadhi nitawataja kwa majina.

Ngosha mkubwa na mdogo, Muha kidari, Rama kikono, Mluguru, Hussein, Chuga skanka, Kidevu, Ijumaa iliyopita walikamatwa na askari Polisi katika eneo hilo.

Vibanda wanavyolala vikachomwa moto, wakapelekwa kituoni wakatoa kila mtu laki moja moja wakaachiwa siku ya tatu, siku hiyo hiyo wamerudi tena eneo hilo na wameanza kujenga tena tunamba Polisi warudi tena kuwaondoa hapa wamekuwa kero kwa wapita njia na walinzi wa magodown.
Aisee
 
Taarifa imfikie kamanda Jumanne.
Kamanda fanya kitu hapo kukomesha huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom