Mkuu mwenzetu quality ya gari (ubora) unapimaje, sura au specifications....yani ni vizuri mtujuze nasi tufaidike...
mie nadhani gari ni nzuri iwapo mtumiaji atafaidika katika swala la mfuko wake, nguvu ya gari kulinganisha na barabara zetu, 4 wheel au 2, AC kwa wakazi wa maeneo ya joto, utumiaji wa mafuta na bei za mafuta nchini, durability kulinganisha ni mara ngapi mtu atakua anakwenda gereji kurekebisha gari, power ya breaks per second kusimama gafla bin vuu kujilinda kugonga na kupata ajali, sensors zinazo saidia kuu alert unapotaka ku overtake au parking....
yapo mengi tu....ambayo mnaweza kutushauri kwamba gari flani ni nzuri na ukaeleza kinachokuvutia