Hizi ndizo sababu zinazonifanya niikubali koenigsegg over a bugatti.
The new Koenigsegg Regera(2016) ina 1500 horsepower same as bugatti,
torque 2000Nm,
0-100kph (0-62mph) in 2.8 sec na hii ni kwa sababu hii mashine ni 2 wheel drive ila baada ya hapo hii gari ipo extremely fast ambapo yaweza fika its top speed of 249mph (400kph) in less than 20 sec kitu ambacho I bet hata bugatti atasanda tu kwa mda japo sababu ya topspeed yake atakuja ipita baadae sana. Halafu hizo speed kuzifikisha ni mbinde sana kwnye public roads nyingi sana duniani unless uwe unatumia German autobahn (kwa wasomaji wengine hii barabara ndio highway pekee duniani ambayo imetengenezwa special kwa ajili ya watu wanaotembea kwa kasi sana yaani haina speed limit ni uwezo tu wa gari yako)
Fact nyingine ni kwamba ukiwa kati ya speed 0-200kph na ukaamua kukandamiza uwese ghafla basi hii mashine lazma i-spin tyres.
Kwenye fuel consumption obvious inajulikana ukiwa na bugatti lazma uwe na petrol station nyumbani lakini hiyo ni tofauti na Koenigsegg Regera mnyama unyamani sababu hii kitu inatumia both V8 engine with twin turbo plus electric motors(ambazo zote kwa pamoja zinazalisha 1500Horsepower) yaani ni kama hybrid japo Christian Von Koenigsegg hataki kukubali kuiita mashine hybrid. Hii tech ya kutumia both engine na electric ndio mpya ktk supercars na inatumiwa na gari kama Maclaren P1, Ferrari La Ferrari na Porsche 918 spider n.k
Kuhusu technology hawa jamaa wa Koenigsegg wameamua kuondoa gear transmission (inatumia direct drive technology) , kwa hiyo hii Regera ina 1 gear mpaka unafikia topspeed (hakuna kupoteza mda wa gear shifting ktk kuchanganya speed).
Pia kwnye ufungukaji wa milango nawakubali sana hawa jamaa, naona jau sana supercar kama bugatti kufunguka milango kama mark x.
Kuhusu price obvious any hypercar doesn’t come cheap, Koenigsegg Regera ni $1,900,000 sawa na billion 4.1 za madafu japo ni expensive than other supercars ila ipo way cheaper than a bugatti. Na kwa pesa hiyo mtu utakayotoa lazma utahitaji kitu chenye muonekano mzuri na kuvutia mbele za watu regardless the power you have, yani hata kama mtu sio mpenzi wa magari basi aikubali hata kimuonekano tu, na katika hilo koenigsegg wapo 10 times than a bugatti kuanzia muonekano wa nje mpka wa ndani.