Bugatti mpya- Chiron

Bugatti mpya- Chiron

Hizi gari nazikubali sana kwenye kuchanganya speed ziko fasta yaani nikiendesha hadi raha. Hili game la ASPHALT NITRO limenifanya niendeshe magari ya gharama ambayo ki uhalisia sijui kama nitawahi kuendesha.

Mwanzoni nikajua kibaba ume acquire hyo mashine. Tehe

JF kuna vibweka sanaa. Hahaha
 
Hapa Bongo halifai....mashimo kibao...matuta ndio usisemee...balaaa
 
hahaha mkuu wewe ni mpenzi wa gari aina gani
Labda tumpe hii
1456128473664.jpg
 
Hili dude nalikubali yaani katika gari za kifahari na sports cars hii ni habari nyingine. Nilimuona kijana mdogo analiondoa kwa nguvu kidogo tu lilitaka kugeuka kwa power ilionayo, nilitamani kuomba nijaribu hahaha
 
Hapa Bongo itapita barabara ipi?
Mie naona hapa bongo zinapita tu, mbona zina uvungu mkubwa tu...na pia mafundi wanaweza kuzinyanyua kidogo. Ila kiuchumi hazifai, bei ni ndefu sana kwakweli halafu bado insurance...nikufuru....nimeona Mayweather kaichukua hiyo ya bluu hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom