Kuna watu hawajui kitu bora unyamaze tu uwaangalie, kama kina Rockafeller and Rothschild wana utajiri wa zaidi ya $500billion then mtu anakubishia, nimekumbukaile habari ya aliyekuwa mmiliki wa Man City(aliyekuwa waziri mkuu mkuu wa Thailand) aliposamehe mali za 1.2 trilion.Ninavyojua wapo watu hawajionyeshi na kutangaza utajiri wao.
Rothschild family na Rockefellers ni miongoni mwa hizo figures lakini hawawezi abadan kutangaza utajiri wao.
Kwa hiyo Bill gates kwenye Forbes sawa na tutaamini hivyo.
Nimekuelewa uelewa wako have a very good evening
Conversion ya vipimo ipo na unaweza kubadili kutka watt kilowatt, horse power cc nkHakuna gari ndogo yenye kipimo horse power,jaribu ku google horse power moja sawasawa na cc ngapi ndio utajua,kipimo cha horse power kipo kwenye gari kubwa tu,na hiyo hp 1500 hata kwenye lory hakuna labda train.
Wengi hawaelewi conversion ya vipimoSio kweli, hata gari ndogo zina vipimo vya horse power!
Utashangaa anatokea mtanzania ananunua dudu kama hili wakati tunatakiwa kutumia masaa matano Dar Morodar-mwanza masaa matatu
Siku nyingine kama huna haraka na una mafuta yasiyo ya mawazo kunjia zako Chalinze upite Korogwe-Moshi-Arusha-Singida-RockCityJuz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana
Umesahau toch?Dah! Mengi sana. Inasoma ngapi kwako? Ya kwangu ina 200+
Ujerumani hawana limit ya speed kwenye highway zao.Uko sahihi maana imebidi ni"gugo".Barabara zenye vibao vya speed ya juu kabisa duniani ni 140KPH na viko Bulgaria na Poland.Kama ni hivyo kwa nini viwanda vya magari vinatengeneza magari kama hayo maV8?(From safety/accident point of view).Ili linahitaji mjadala wa kujitegemea
Ni kweli.Nilishabahatika kusafiri kwa barabara kutoka Polland(Warsaw) kuja Ujeruman (Berlin) na rafiki yangu Upande wa Ujerumani jamaa alikuwa anaachia mkoko hatari sikufuatilia hii issue ya Speed limit.Wenzetu highways zao ni nzuri hazina mambo ya head to head collition kama huku kwetu bongoUjerumani hawana limit ya speed kwenye highway zao.
Endesha Full speed hio gari ikiwa full tank, 15 mins tu ushakausha mpaka mabaki ya mafuta, ukisimama kwa kuishiwa mafuta, matairi yote manne yabadilishwe, tena sio kwa jeki na spana tulozoea, unapigia simu breakdown, wanakuja wanakubeba moja kwa moja Airport, unaitia katika ndege unaipeleka France kubadilishiwa matairi kwa dola 70,000.....
Endesha Full speed hio gari ikiwa full tank, 15 mins tu ushakausha mpaka mabaki ya mafuta, ukisimama kwa kuishiwa mafuta, matairi yote manne yabadilishwe, tena sio kwa jeki na spana tulozoea, unapigia simu breakdown, wanakuja wanakubeba moja kwa moja Airport, unaitia katika ndege unaipeleka France kubadilishiwa matairi kwa dola 70,000.....
Hizi bara bara zetu ukikanyaga 130 abiria wote hawaongei! Wanapigwa ganzi...Kwa hizi barabara zetu. Kabla ujafika utakuwa umeshabadilishwa jina
Wapo watu wengi tu ambao utajiri wao haupo forbes mfano vladmir putin pesa ake ni zaid ya 200bill € lakin hayupo kiukweli wanasiasa wengi sana wame hide utajiri wao...nakumbuka last year kuna mama wa naijeria alikuwa anafanya kazi hazina kipindi cha rais gudluck alikutwa ana zaid ya 90bill $ sasa jiulize mwaka huo bill gates aliongoza kwa 74bill $Ninavyojua wapo watu hawajionyeshi na kutangaza utajiri wao.
Rothschild family na Rockefellers ni miongoni mwa hizo figures lakini hawawezi abadan kutangaza utajiri wao.
Kwa hiyo Bill gates kwenye Forbes sawa na tutaamini hivyo.
Nimekuelewa uelewa wako have a very good evening
😀 😀 😀Hii post imenifanya nicheke kwa sauti alafu bahati mbaya ni lecture room.watu wamenigeukia wote......kwa jinsi nilivyocheka vibaya na wao wamecheka mpk lectirer
ALAANIWE ALIYETAKA KUIFUNGA JF
Thank you very muchWapo watu wengi tu ambao utajiri wao haupo forbes mfano vladmir putin pesa ake ni zaid ya 200bill € lakin hayupo kiukweli wanasiasa wengi sana wame hide utajiri wao...nakumbuka last year kuna mama wa naijeria alikuwa anafanya kazi hazina kipindi cha rais gudluck alikutwa ana zaid ya 90bill $ sasa jiulize mwaka huo bill gates aliongoza kwa 74bill $
Kama Bombardier vile.dar-mwanza masaa matatu
Mbona anayo nyekundu tayari!Kina Birdman lazima waweke order hapo.