Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Hii kitu ni nooma ina 1500 horse power yaani ukitaka kuelewa nguvu ya hii mashine jaribu kulinganisha, Toyota Land Cruiser VX top version haivuki 300 horse power, sasa hii ni mara tano yake dadadeki, top speed ni 500 km/saa, Inatumia sekunde mbili kuchomoka kutoka 0 - 100 km/saa, yaani ukihesabu sekunde mbili tayari speedometa yako inaonyesha imeshafikia 100 km/saa, sema ikifika 420 km/saa elektroniki zinaweka gavana ili kuzuia Matairi yasipasuke, ...

pswelt-Autotester-Stefan-Anker-faehrt.jpg



Bugatti-Chiron-fotoshowBig-3ab9bb4f-929980.jpg




e5f71ebab1110a481f6754730d9e2f91__bugatti-chiron_3_jpg_1436715_1164.jpg



291af0d4dea245d94051a35d30bfe064__bugatti-chiron_6_jpg_1436732_1164.jpg


2,w=993,q=high,c=0.bild.jpg



pswelt-Autotester-Stefan-Anker-faehrt-5.jpg



32726c657693c918b395c57b25d645a6__bugatti-chiron-innen_jpg_1436721_1164.jpg



Engine yake; V 12, 1500 Horsepower, 8 liter Volume, Uzito wake ni 436 kg!

6e53fb60b39b04f5248fbe71dd5ce78f__bugatti-chiron-motor-u-getriebe_jpg_1436717_1164.jpg
 
Mkuu kuna barabara za high way huko dunian....hutakiwi kuendesha nchini ya km80/hr....
80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekani
 
Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500


Hilo siyo muhimu, cha muhimu ni teknolojia inayoiingia kwenye hii gari, ndiyo maana hasa ya kutengeneza gari kama hizi!
Fikiria aerodyamics, brake system, uimara wa matairi n.k. hivi vyote vinachangia ktk ukuaji wa teknolojia!
 
80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekani
Mkuu hapa hatuna high way!,izi barabara zimejaa mashimo,matuta kibao!!,
Huko duniani high way ni mkeka mtupu!,ukiwa speed ndogo unaweza sababisha ajari!... Na Mara nyingi unaripia high way!!,mfano ikiwepo hapa me to Moro only 1hr
 
80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekani
250 TZ hufiki? Usintanie kabisa!! anyways, unaijua barabara inayoitwa Autobahn? Zipo barabara za kufika hio 500kmhr kwa wenzetu... hatuna sie tu miji ilokosa plan...
 
Mimi na Rav4 yangu tu.mule mule,nalambaga masaa 9 Mwanza to Arusha
 
Endesha Full speed hio gari ikiwa full tank, 15 mins tu ushakausha mpaka mabaki ya mafuta, ukisimama kwa kuishiwa mafuta, matairi yote manne yabadilishwe, tena sio kwa jeki na spana tulozoea, unapigia simu breakdown, wanakuja wanakubeba moja kwa moja Airport, unaitia katika ndege unaipeleka France kubadilishiwa matairi kwa dola 70,000.....
 
Juz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana
 
Back
Top Bottom