Bugando wamtimua mgonjwa aliyeoza makalio wodini

Hii habari imechapishwa ktk gazeti jamhuri
Na tarehe 17/06 itaendelea. Kitaaluma ni vema kuonesha habari imetoka wapi. Hii ya kudaka juu kwa juu bila ku-attibute source ni makosa kitaaluma.

Nimeweka chanzo nilipoipata hiyo habari ambacho ni blogu ya Malunde. Hukukiona?

Blogu nilipoipata inasema habari kwa mujibu wa na Victor Bariety-Malunde1 blog Geita.

Whether hiyo blogu imeiotoa habari kwenye gazeti la Jamhuri sijui kwa sababu sijasoma hilo gazeti.
 
Wanamtaka mwenye blogu mpwa hiyo ndio jf
 
Hii habari imekaa kiudaku udaku, kwa sababu hakuna maelezo yoyote ya upande wa pile..i.e maelezo ya kutoka Bugando yakithibitisha au kukana habari hii, na kama yamethibitisha ni sababu gani zilizotolewa. Baada ya maelezo haya ndo tunaweza kuchangia mada Otherwise, imekaa kiuchochezi zaidi
 
Chanzo cha habari kinadai kuwa ametimuliwa.

Mkuu nimeweka habari kama nilivyoikuta.
nimekusoma mkuu

nadhani kuna tatizo, inawezekana kabisa huyo hatapata nafuu yoyote hapo BMC na akaleta discomfort kwa other patients as well as kurisk further infectios mwilini maana hicho kidonda kibaya sana, matakoni kuna mafuta, na kinavyooza, atakutana na njia ya haja kubwa ndio itazidi kuozesha

in short jamaa analiwa huku anaishi

tuombe Mungu sana

je kuna namna mmefanya fundraising ya kumfikishia pesa za kujaribu kwingine?
 
Mkuu wagonjwa wengi tu wanarudishwa nyumbani, sio jambo la kwanza wala la ajabu, yawezekana kabisa hawezi tena kutibiwa hospitali, kwenye nchi zenye kujali raia kuna mfumo mzuri wa palliative care kwa wagonjwa kama huyo, wale wa kansa nk. si kitu kipya

end of life care is different from treatment!!!

anyway, it all depends on how you took my question... kitaaluma zaidi, wagonjwa kurudishwa nyumbani after treatment failure haijaanza leo

Suala ni kwamba alienda hapo hosipitalini akiwa ameoza makalio? "Luhogola ambaye kwa sasa amepooza kuanzia kifuani hadi miguuni anadai kuwa, iwapo angejua hayo yangetokea angewashauri ndugu zake wasimpeleke kwenye Hospitali hiyo kwa kuwa tatizo alilonalo la kuoza makalio yake lilisababishwa na wauguzi waliokuwa wakimhudumia soma zaidi": Kashfa Nzito- BUGANDO YATIMUA MGONJWA ALIYEOZA MAKALIO,ALIYEBAINI KUWA MAKALIO YAMEOZA AZIRAI,MGONJWA AISHIA KWA MGANGA WA JADI | MALUNDE

Kwa nchi za wenzetu this is clinical negligence na probably wahusika wangekuwa wameshaachiwa kazi.

Wengine wanaweza pia kudai kuwa ni gross negligence manslaughter.
 
Hii habari imekaa kiudaku udaku, kwa sababu hakuna maelezo yoyote ya upande wa pile..i.e maelezo ya kutoka Bugando yakithibitisha au kukana habari hii, na kama yamethibitisha ni sababu gani zilizotolewa. Baada ya maelezo haya ndo tunaweza kuchangia mada Otherwise, imekaa kiuchochezi zaidi

You are right. Habari ni ya upande mmoja na blogu inapopatikana hii habari ilikuwa inakusanya michango which makes it impartial.
 
Inasikitisha,ila ingekuwa vizuritusikie na upande wa pili nao wanasemaje!!!!!
 
Udini?OK ipo siku Kanisa Katoliki wakiamua kujibu mapigo ki ubinadamu hatuta amini
 
Suala ni kwamba alienda hapo hosipitalini akiwa ameoza makalio? "Luhogola ambaye kwa sasa amepooza kuanzia kifuani hadi miguuni anadai kuwa, iwapo angejua hayo yangetokea angewashauri ndugu zake wasimpeleke kwenye Hospitali hiyo kwa kuwa tatizo alilonalo la kuoza makalio yake lilisababishwa na wauguzi waliokuwa wakimhudumia soma zaidi": Kashfa Nzito- BUGANDO YATIMUA MGONJWA ALIYEOZA MAKALIO,ALIYEBAINI KUWA MAKALIO YAMEOZA AZIRAI,MGONJWA AISHIA KWA MGANGA WA JADI | MALUNDE

Kwa nchi za wenzetu this is clinical negligence na probably wahusika wangekuwa wameshaachiwa kazi.

Wengine wanaweza pia kudai kuwa ni gross negligence manslaughter.

Hata ukiwa mzima ukilala kitandani kwa muda mrefu ( labda mwezi) unaweza kupata hivyo vidonda. Kinachotokea kwa wagonjwa ambao wamekuwa na hali hiyo huwa wanageuzwa geuzwa ili wasipate hivyo vidonda mapema. Pia wakipata vidonda husafishwa visilete madhara. Nina uhakika kwenye hospitali kubwa hukosi hata watatu wa namna hiyo. Kupona kwao mapema na kusafishwa vizuri husaidia hivyo vidonda kukauka.

Negligence na bad management ni matatizo sugu kwenye sekta ya afya. Vifo vingi tu vingepunguzwa kutokana na hii. Hata hivyo changamoto zilizopo mahospitalini zinawafanya hata wahudumu wasiwahudumie vizuri wagonjwa.

Mfano. Hospitali ya wilaya wanaweza kuwa na wagonjwa wanahitajika kuwa refered, ila huwa wanasubiri hadi wawe wengi kupunguza cost za mafuta. Sasa wale waliowahi haijalishi wana hali gani, wengine hufikishwa mahali husika na kusurvive kwa dakika tu wakafariki, na vile huwa wanafikishwa wengi kwa wakati mmoja ni rahisi sana kuwa mismanage wengine.

Tatizo lingine ni tiba. Bado vifaa tiba ni changamoto.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Majina mengine mmmmh...

Keflini Kafaransa
Hatari Petro

All in all pole mgonjwa na wanafamilia
 
sisi ni wanafiki... period

kutazama mgonjwa si kumsaidia mgonjwa, kumpatia nafuu ya mahitaji ni kumsaidia

wewe unaangalia hata vyombo vya habari kweli ni wagonjwa wangapi watanzania wamewapa msaada wa matibabu nje ya nchi? kama wewe ni mnafiki si watanzania wote binafsi napongeza kituo cha itv kwa kuwaunganisha watanzania katika kuchangia wagonjwa wanaopelekwa abroad kwa matibabu. hongera sana bwana Mengi na menejimenti ya itv.
 
Mkuu wagonjwa wengi tu wanarudishwa nyumbani, sio jambo la kwanza wala la ajabu, yawezekana kabisa hawezi tena kutibiwa hospitali, kwenye nchi zenye kujali raia kuna mfumo mzuri wa palliative care kwa wagonjwa kama huyo, wale wa kansa nk. si kitu kipya

I know how good EMT is kwenye kuleta habari zake dnio maana nikauliza lile swali ili ku-validate kama hakuna bias yoyote

end of life care is different from treatment!!!

anyway, it all depends on how you took my question... kitaaluma zaidi, wagonjwa kurudishwa nyumbani after treatment failure haijaanza leo

natamani ungerudishwa wewe.
 
Karibu wiki mbili zilizopita kuna mdau alienda pale hospitali ya Ocean Road (ndo alivyodai). Aliyoyakuta huko eti yalimsikitisha sana.

Akaja humu kuanzisha uzi wa kuhamasisha watu wafunge safari waende hapo hospitalini kuwafariji wagonjwa.

Tokea wakati huo sijasikia wala kusoma popote kama wapo watu waliofanya hiyo ziara achilia mbali hata kuwa na mpango.

But of course, wala vumbi ni watu wenye upendo na ushirikiano sana (Cc: Husninyo). That is, ni watu wenye upendo na ushirikiano wa midomoni na vidoleni tu (ku-type na kunyooshea wengine vidole vya lawama)!!!!!!!!!!!

hakika hutonisahau. khaaaaaa!!!!
 
natamani ungerudishwa wewe.

ikitokea nikaugua, na matibabu yakashindikana na hiyo ikawa ndio option NITAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI

nimeshapokea ndugu waliorudishwa nyumbani for terminal (palliative) care

Life after death iko nje ya uwezo wangu, ni kujiandaa kiroho na kimwili

Inshallah
 
Hata ukiwa mzima ukilala kitandani kwa muda mrefu ( labda mwezi) unaweza kupata hivyo vidonda. Kinachotokea kwa wagonjwa ambao wamekuwa na hali hiyo huwa wanageuzwa geuzwa ili wasipate hivyo vidonda mapema. Pia wakipata vidonda husafishwa visilete madhara. Nina uhakika kwenye hospitali kubwa hukosi hata watatu wa namna hiyo. Kupona kwao mapema na kusafishwa vizuri husaidia hivyo vidonda kukauka.

Negligence na bad management ni matatizo sugu kwenye sekta ya afya. Vifo vingi tu vingepunguzwa kutokana na hii. Hata hivyo changamoto zilizopo mahospitalini zinawafanya hata wahudumu wasiwahudumie vizuri wagonjwa.

Mfano. Hospitali ya wilaya wanaweza kuwa na wagonjwa wanahitajika kuwa refered, ila huwa wanasubiri hadi wawe wengi kupunguza cost za mafuta. Sasa wale waliowahi haijalishi wana hali gani, wengine hufikishwa mahali husika na kusurvive kwa dakika tu wakafariki, na vile huwa wanafikishwa wengi kwa wakati mmoja ni rahisi sana kuwa mismanage wengine.

Tatizo lingine ni tiba. Bado vifaa tiba ni changamoto.

Noted.
 
Back
Top Bottom