EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
- Thread starter
- #21
Hii habari imechapishwa ktk gazeti jamhuri
Na tarehe 17/06 itaendelea. Kitaaluma ni vema kuonesha habari imetoka wapi. Hii ya kudaka juu kwa juu bila ku-attibute source ni makosa kitaaluma.
Nimeweka chanzo nilipoipata hiyo habari ambacho ni blogu ya Malunde. Hukukiona?
Blogu nilipoipata inasema habari kwa mujibu wa na Victor Bariety-Malunde1 blog Geita.
Whether hiyo blogu imeiotoa habari kwenye gazeti la Jamhuri sijui kwa sababu sijasoma hilo gazeti.