Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

Weka picha mkuu,naona uongozi wa Bugando unakupinga

bugando.jpg


#TeamWekaPicha ....
 
Huna cha kuandika kwasababu huna data yoyote inasapoti unachokuandika!! Acha udaku kama hunachakuandika nakili hata mistari ya taarabu itakulipa!!

Hebu tuambie kwa kauli moja;panya wapo au hawapo?
 
Weka picha mkuu,naona uongozi wa Bugando unakupinga
picha haziruhusiwi kupigwa, ni kweli kuna panya wa kutosha na hospital hii ni wazembe sana. tunaomba management ifuatilie hili swala. Pia mapokezi ni wala rushwa sana. bila elfu 10 file linachukua siku nzima kupatikana. Hata kama ni mgonjwa wa private(AAR, Strategies, jubilee, nk) watakuangaisha hapo eheee hadi unyoshe mkono au uende kwa utawala wa juu.....KANISA LA KATOLIKI LIMEJISAHAU SANA......BMC HAINA TOFAUTI NA SEK/TOURE, TENA S/TOURE IKO JUU.
 
Swala la rushwa pale getini ni kama sheria hasa nyakati za usiku ni lazima utoe Tsh. 5,000/- ndoo uingie hata kama unaumwa/una mgonjwa au unaenda kumsaidia mgonjwa wa privet . Na huu utaratibu inaonekana umebarikiwa na uongozi wa hii hospital kinyume na mapango yao yanayosomeka mle ndani usitoe/ kupokea. rushwa
 
Back
Top Bottom