Inasikitisha unapoingia katika kila ward unakutana na makundi ya panya na mende kila sehemu na hata wakati mwingine zinadhiriki kungata wagonjwa usiku hasa wale wanao kuwa wamezidiwa na hawajitambui.
Kwa kweli inasikitisha kuona hosp kubwa kama hii tena ya RUFAA inakuwa na hali kama hii na uongozi upo pamoja na serkali yake. Hii ni aibu kubwa hospital kugeuka kuwa kiwanda cha kuzalisha panya na mende.
Tunaomba uongozi wa hii hospital uwajibike ili kunusuru maisha ya wagonjwa.