Zamani mtu ambae alikuwa hawezi kusave nilikuwa namshangaa sana
Samahani kama nitakukwaza
Fafanua usemi wako nitapendelea kukufahamu zaidi
nilikuwa nashangaa mtu unashindwa nini kusave pesa..
nilipokuja kuanza michakato ya maisha sijawahi kusave hata sent
hela yote huwa inaisha
Zamani mtu ambae alikuwa hawezi kusave nilikuwa namshangaa sana
On savings, most of them we have failed!! We save what is left after spending hahahaaaaaa!! Still we have long way to go........!!!
Nimelike ...Lakini rekebisha mambo ya THE THE... sidhani kama iko sawa
Thanks mkuu, wakati mwingine unaweza kucomment thread ukaona upo vizuri but ukiipitia badae ndipo unaona makosa ya dhahiri. Zaidi ya yote lugha ya wenyewe hii mkuu.....!!
kwanini..???