Budget ya 1M laptop gani nzuri for gaming?.

Budget ya 1M laptop gani nzuri for gaming?.

cheaf-Mkwawa nimepata hp pavilion yenye
i5 5th generation U 2.27ghz
8gb ram
Na amd radeon 8600m
Hii inafaa kweli?
 
cheaf-Mkwawa nimepata hp pavilion yenye
i5 5th generation U 2.27ghz
8gb ram
Na amd radeon 8600m
Hii inafaa kweli?
Mmmh core i5 afu tena 2.27 GHz duuuuuu, core i5 manake ni 2.5 kwa 2.5 GHz ukijumlisha ndo 5 mzee
 
cheaf-Mkwawa nimepata hp pavilion yenye
i5 5th generation U 2.27ghz
8gb ram
Na amd radeon 8600m
Hii inafaa kweli?
mkuu gpu ni ndogo sana hio haitacheza gta v kwa medium setting, hata hio low yenyewe itasumbuka.
 
hizo laptop zinazoandikwa tu vram bila kutaja exactly aina ya gpu iliotumika ni za kuziogopa,

kwa nvidia ni vyema kuhakikisha ni x50 kupanda gpu kama 930m, 920m, 910m 940m etc huwa hazina maana na zinapitwa kirahisi na gpu za ndani zinazokuja na cpu.
Screenshot_20170501-152805.jpg

Mbona kama hii nimeiona nzuri tu na ina Gtx 940Mx
NVIDIA GeForce 940MX
na kwa vipimo hivi nimeona ina cheza games nyingi at 720p bila shida.
Lakini ningependa kujua zaidi kuna laptop bei kama hiyo hata kama refurbished yenye gpu bora zaidi na duka gani naweza ipata.. Maana nilikuwa nafanya window shopping hapa karibuni.
 
View attachment 503408

mkuu 940mx inamake sense pale tu unataka gpu kwenye ultrabook na unataka iwe ni ultrabook inayokula umeme mdogo, isiopiga kelele wala kupata joto sana. sababu 940mx inapitwa hadi na gpu za ndani kama iris na iris pro series. pia kuna version mbili kuna yenye ddr3 na yenye ddr5 ni vyema kuchunguza ni ipi sababu siku zote ddr3 itakuwa slow kuliko ddr5, na laptop za kuanzia skylake ni ddr4 hivyo inakuwa haina maana kuwa na gpu ambayo ipo slow kuliko hata ram ya pc.

ila kama ni perfomance unayotaka angalau umekosa kabisa ni kuanzia 950m kupanda

Laptop za mwaka jana zenye nvidia gtx 960m nyingi naona zinatokea kwa bei za around dola 500 ebay na amazon. Laptop kama dell inspiron 15, lenovo y50 etc
 
mkuu gpu ni ndogo sana hio haitacheza gta v kwa medium setting, hata hio low yenyewe itasumbuka.
Dah! Sadly ulivyokuwa umenijibu Nilikuwa nimesha ichukua kwa papara. Baada ya ku-update drivers kumbe GPU ni amd r5 m330 2GB vram. Inacheza gta 5 kwenye low fps ni 35-40 mid fps 30 na battlefield 1 low 35-38fps mid 27-30fps. Sio mbaya sana lakini Next time nitachagua kwa makini zaidi, hii ilikuwa my first gaming pc kwahiyo nilikuwa na haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom