Masterkratos
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 584
- 576
Laptop ipi nzuri for gaming kwa budget iyo?
Apple kwa 1,000,000?Nasubiria na mm nataka apple kwa cost hiyo .
Cc miss natafuta
Laptop zenye sifa hizi zinapatikana wapi na bei gani hapa TZ?mkuu labda used, kwa mpya uhakika ni dola 750.
Laptop zenye sifa hizi zinapatikana wapi na bei gani hapa TZ?
tafuta laptop ya i5 7200u zinapatikana around 1M mpaka 1.2M zinacheza gta v kwa 720p kwa 30+fpsDah mi nilikuwa nataka nipate hata inayocheza mid quality tu.kama gta 5 720p, 40fps
inafanya kazi zozoteHiv kompyuta ikiwa ni ya gaming inamaana kazi zengine haiwezi kufanya?? Plz nijulishen
Asante sana bro nitakumbukaView attachment 502296
Hawa jamaa wapo vizuri kwa pc, wacheki...pc yangu ni Hp core i5 7200u. intel graphix 620 4gbpamoja na nvidia 930mx 2gb..graphics rendering ni 6gb ..ram 8gb..cost ilikuwa 950,000 tshs nilivyoinunulia huku mkoani mbeya kwenye duka la kompyuta, Sijaweka game ila youtube nlioma ipo fresh kwenye gta 5..N.B msifanye makosa kama niliyofanya kwa kuamini kwamba laptop zote zenye core i7 zina uwezo mkubwa zaidi ya xore i5...Nilichukua mara ya kwanza core i7 5600 nikajua nimewin nikafungua uzi ndipo chief mkwawa akaniambia niliyo nayo saizi inaipita hio core i7....Asubuhi sana nilienda kuibadisha nikachukua niliyo nayo sasa...
Asante sana bro kwa msaada wakotafuta laptop ya i5 7200u zinapatikana around 1M mpaka 1.2M zinacheza gta v kwa 720p kwa 30+fps
au utafute laptop ya i3 yenye dedicated graphics, sijui utaipata wapi ila nayo inaweza handle,
Sorry bro hiyo haitanifaaNcheki mm nauza lenovo g500
Ram 4 GB
Hard disc 1 TB
Processor duocore
Laki tano tuu
0719073206
Nipe spec zakeLete pesa nkupe yangu napigia Fifa daily
hizo laptop zinazoandikwa tu vram bila kutaja exactly aina ya gpu iliotumika ni za kuziogopa,Epic Computers
Ingia hapa cheki hizo zenye Nvidia GeForce lakini naona zina range kwenye 1.3mil na ni refurbished au nunua Ps4