Kuna jamaa mmoja alikuwa stranded katika kisiwa fulani.Pale kisiwani palikuwa na mti mmoja tu.Yule jamaa akaukata ule mti ili aandae mtumbwi utakaomsaidia ku-escape pale kisiwani.Mara ghafla akamuona mwanamke mzuri ambaye naye alikuwa stranded pale kisiwani.Jamaa akabadili uamuzi,badala ya kuchonga MTUMBWI akachonga KITANDA kizuuuri.