BSS mmefeli kwenye kutangaza mshindi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,307
Reaction score
5,785
Akili ya kawaida tu,mngetaja mshindi wa tatu halafu wa Kwanza.

Ama mngetaja mshindi wa pili kisha wa kwanza halafu wa tatu anajulikana tu kwa vile wapo watatu stejini.

Yote kwa yote nampongeza sana madame Ritha kwa ubunifu wa BSS.Nashauri asiue brand kwa ushauri wa wanasiasa.
Atarudi nyuma sana.Maana wanasiasa wanaondoka na kukosa mvuto,ila BSS kwa sasa ni Brand Kubwa sana
 
Yule n/Waziri Juliana Shonza Yuko wapi Siku hizi?Enzi za Jiwe alitaka kumharibia huyo mama brand yake.
 
Kumbe leo kulikuwa na huo UCHAFU !!!![emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hata nilikuwa sijui inaonesha siku hiz hawaitangazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…