BSc Mechanical Engineering au BA Accounting achague ipi

Mkuu labda zamani ila sio Sasa, Vijana wa FTC na bachelor holder wa mechanical engineering kitaani wamejaa na hawana Cha kufanya yeye asome anachopenda ..., Akisoma kufuata ajira atashindwa tu MTAANI baada ya kumaliza
Dah... ndiyo tatizo la "KUCHAGUA" kozi za kusoma...[emoji41]
 
ni sawa na kufananisha 'aende London au Koromije'
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo hapo London ni ipi na Kolomije ni ipi?
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
Vigezo vinavyohitajika ni vipi?Okay bahati mbaya mimi niko mbali kwa sasa sitamudu ila ngoja niwatumie rafiki zangu hii fursa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…