youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,879
- 4,039
Loan wanatoa?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mdogo wangu alichaguliwa hiyo but loan hakupewa
Loan wanatoa?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hivi na hii inahusu nini bcs of science in bussiness infomation system yaan unasomea nn?
hiyo haina tofaut sana na I T AU COMPUTER SCIENCE kitakachoongezeka kwamba watakuchanganyia module chache za biasha ila kukupa basics za biashara