Labda nianze na kusema kuna course inaitwa insurance and risk management alafu kuna course inaitwa Tax.
Hiyo insurance inahusu Bima pamoja na majanga mbali mbali,
Utasoma aina mbali mbali za Bima, utaweza kudesign products za Bima kama akili itakuwa vizur, utajiajiri kama Broker, Agent, Assessor nk, Unakuwa underwriter wa insurance,.
Upande wa risk Utasoma aina za risk zinazozikumba taasis mfano benk, framework mbali mbali
Lakini Mwaka wa kwanza na wapili kuna hesabu.