Bsc.General(Applied microbiology with Chemistry)

robotics

Senior Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
171
Reaction score
128
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Hii programme inafundishwa chuo gani?.Wakuu hii kitu inatangazwa sana na TBS Jana tena wamerudia baada ya sijui niite watu kukosekana ama vipi?.Hivi kuna sehemu yeyote ya kufanya kazi zaidi ya hapo TBS?.Je kama hamna hao watu hakuna uwezekano wa kuajiri watu wengine kama bsc.chemistry?.Kuna dogo alikua anataka kusoma hii kitu amekosa inafundishwa wap kwan ameambiwa afanye 2nd round.
Natunguliza shukurani kwa majibu yenu mazuri wadau.
 
Udsm ipo mkuu
 
Ipo watu wanasoma, hapo Mlimani mkuu...na kazi zake sio TBS tuu, bali sehemu zote ambapo kuna either chemistry au microbiology jamaa yupo. mfano kiwanda cha dawa, na water laboratory quality
 
Back
Top Bottom