Bsc. Gen. Maths & economics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bsc. Gen. Maths & economics

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAKALA, Aug 8, 2009.

 1. M

  MAKALA Member

  #1
  Aug 8, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hi
  kuna ndugu yangu ana Bsc. mathematics and economics, anatafuta kazi. so nakaribisha kwa yeyote mwenye ushauri wa kumpa wapi akajaribu kuomba kazi.
  thanks.
   
 2. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  ni nduguyo au wewe? maana mtu ana bsc. na bado anataka wewe umsaidie? muadvise ajiunge jukwaani then aulize kama yeye, ndio mwanzo wa kujenga confidence. pia atembelee jobsearch sites kama http://www.brightermonday.com
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  jamani jamani, mtu ana Bsc bado anataka au hajui vitu kama JF, brightermonday, radarrecruitment, tiptop, tzonline nk. Hebu jamani oneni wasomi wetu wanavyopoteza mwelekeo, wanakalia kupiga soga tu, they tend to prentend they are serious with study kumbe wanatongozana tu. Anyway tumsaidie, lakini najisikia vibaya kumsaidia mtu ambaye tayari anarungu mkononi. Nitamsaidia, anitumie PM.
   
Loading...