BSc Engineering in Data Science inahusu nini?

badman prezoo

Member
Sep 24, 2021
21
10
Eti hiii cause inahusiana na nini na application za kwenye maisha ya kawaida inatumika wapi.

Naombeni ushauri apo jamani.
 
Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi.

Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi
 
Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi.

Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi
ukisoma iyo couz una opportunity ya kupata ajira.
 
Back
Top Bottom