kufanyaje?mpe majibu yanayolewekanenda kempisky.
Nimegraduate mzumbe university mwaka huu
amekwambia amegraduate ths year halaf unaulza xperienc,mbn mnakua hamna mawazo chanya!
kufanyaje?mpe majibu yanayoleweka
me nataka mtu mwe experience.
we senator,acha kumzuga mwenzio,we mwenyewe ndo kwanza umefanya supp juz,subir majibu yako kama hawajakula kichwa uendelee na mwaka wa pili
namchalenge 2 huyu ndugu yangu bana,afu me ni 3rd yr co 2nd yr mkuu.
haya bana,umechomoa au wamekula tena kichwa? Lol