Natafuta kazi ya kuuza hardware Kahama

May 16, 2023
30
32
Habari wadau naomba Kwa yoyote atakaewiwa natafuta kazi yoyote halali nipo Kahama mimi ni mhitimu wa chuo kikuu 0621136523
Jinsia-Me
Elimu-BSc in Agronomy
Umri-29
 
Habari wadau naomba Kwa yoyote atakaewiwa natafuta nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya ujenzi 0621136523
 
Maelezo yako hayajitoshelezi.

.Jaribu kutaja course uliyosoma.
.Jinsia yako.
. umri pia.
.email kama ikikupendeza.

Nadhani itakuwa Rahisi kupata msaada zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom