hayo mapya utaendeshea hapa mjini bongo ama?kama kwenu uswaz watoto wataacha kucheza mpira na kuja kuligusa wakidhani ni 'SENT FRM HEAVEN'...
heheheheee. Hapo umenigusa. Hiyo imetulia. Hapa TZ itapiga route vizuri tu. 🙂haya hilo hapa kwa TZ .. wasemaje??

ndio hili hapa au kuna lingine ( hii ni Hydai i40 Saloon) ..
thanx 🙂 mhh! Hizo litta mbona taabu, maana mafuta hapa bongo taabu tu. Ndio hivyo tu best, tutafanyaje? Ferari twazipenda, ila barabara zetu hazitaki kuendeshwa na magari ya kifahari. 🙂Karibu tena

ila linakunya mafuta hilo..

labda kuanzia 3.2 mpaka 6 liters ...

Karibu tena

ila linakunya mafuta hilo..

labda kuanzia 3.2 mpaka 6 liters ...
thanx 🙂 mhh! Hizo litta mbona taabu, maana mafuta hapa bongo taabu tu. Ndio hivyo tu best, tutafanyaje? Ferari twazipenda, ila barabara zetu hazitaki kuendeshwa na magari ya kifahari. 🙂
^ LMFAO! Lets enjoy kwa kuziangalia tu. 🙂hahahahahahh itabidi tusubiri mpaka watengeneze mafuta ya maji ( duuuhhhh maji yenyewe shida)

barabara ndo hizo za ku bembeleza haya magari yanakunywa mafuta hata ukikanyaga breki ..

sasa na hizo foleni ...... aahhhh tuzifurahie tu kwa macho ...
ndio shida ya jeep (huwa naiita jini). ni chuma ulete! i was hoping watatengeneza ambayo engine yake ni ya kistaaabu,its a nice car kwa kweli!

yeah napenda Jeep "Cherokee"

lakini dahhh usifukuzwe tu kazi...

maana ukiacha kazi bora uliuze tu turudi

kwenye "Nissan Prado"....

i like this , simple , cheap Goooooood looooking too lol...

lakutokea tu .. (hata likiporomoka nyumbani easy to get parts )lol

toyota Celica T sport..

unanipa mtihani ngoja nkutafutie..
very nice,the color pia is good. bt too low bana na vile viatu vyetu, ukiendesha unakuwa kama umekaa kwenye kigoda! shida yangu pia napenda safari ndefu,so u can see it is tiring.napenda mwendo wa kufukua pia..