Bruuuum, bruuuuuum

Bruuuum, bruuuuuum

Hebu soma ujumbe huo nyuma ya hilo "my dream car"
Ukiwa nalo bongo hulali njaa.
SDC10963.JPG

 
Mpaka hapo mtakuwa mmeamka.
Najua si tabia njema kuamsha mtu kwenye njozi nzuuuuri tena yenye ndoto tamtam kama mlizokuwa nazo.
Lakini pia ni vizuri ukishaamka katafute chenji....ndoto yako itimie....
Depends na aina ya ndoto....
zingine kamwe no kutimia.
 
Hebu soma ujumbe huo nyuma ya hilo "my dream car"
Ukiwa nalo bongo hulali njaa.
SDC10963.JPG


hahahahahah
ujembe fika na kupokelewa kabisa..
napenda hayo magari yenye ujumbe ...
 
KTM, LOVE THEM WITH REPSOL TEAM, AKA (THE RED AND ORANGE MACHINES, OR THE FLYING ORANGES KUDADADEKI)


2009_ktm_690_r_enduro.jpg


 
mweeehhhhh
hiiiii inaruhusiwa kweli bara barano hahahah lol sante..
looks nice ...🙂
haha hapo ilipo my dear ishagusa ardhi ukiingia nayo mitaa ya sinza unanasa hapo hapo inapoishia lami haivuki tuta
 
yeah napenda Jeep "Cherokee"
lakini dahhh usifukuzwe tu kazi...
maana ukiacha kazi bora uliuze tu turudi
kwenye "Nissan Prado"....

i like this , simple , cheap Goooooood looooking too lol...
lakutokea tu .. (hata likiporomoka nyumbani easy to get parts )lol
toyota Celica T sport..

Naamini umeteleza tu hapo..kwani hakuna gari lenye jina hilo!!
Otherwise nice thread and photos.
 
Back
Top Bottom