Bruuuum, bruuuuuum

samahani wapendwa skupata jina zuri la kuiipa hii thread..
ni kuhusu magari , mapya , ya zamani na yapi uyapendayo??

Binafsi jina la thread liko very ok ...na ubunifu .. kama kazi yako yenyewe ya kutuvutia picha na kutuwekea hapa... Thank!!

Utaona nimependa Jeep ... na sababu nimetoa pale ..ni dume... kokte wakato wowote ... Gharama? We will look about it!!

Kujibu swali ... Sipendi vijigari vile vya zamani saaaana .... sijui kwanini!!
 
samahani wapendwa skupata jina zuri la kuiipa hii thread..
ni kuhusu magari , mapya , ya zamani na yapi uyapendayo??
kesheni mkiomba msijusumbue na mambo ya dunia,mtaviacha acheni njia zenu chafu mkajiandae kuyaelekea makazi ya milele.magari na anasa wenzenu wameviacha.
 
Wapenzi wa Jeep..
mtabadilisha mawazo mkioona hii kitu...
[h=1]"Land Rover's convertible 4WD"[/h]
 


The DC100 Sport, a convertible version of the Land Rover Defender, shown at the 2011 Frankfurt motor show.
 


A hostess stands next to Lamborghini Aventator LP 700-4 at the Frankfurt Auto Show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…