donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Huyu ndio tunda bossbaby kama ulikuwa hujuiMkuu hivi ulizaliwa hotelini? Mbona unapenda kula ivyo?
[emoji23] [emoji23]Mkuu hivi ulizaliwa hotelini? Mbona unapenda kula ivyo?
Hahaha, mkuu ni hobby tuMkuu hivi ulizaliwa hotelini? Mbona unapenda kula ivyo?
Wewe hutumii maziwa mkuuHaya maziwa cjui mnawezaje kuyanywa
SawaHuyu ndio tunda bossbaby kama ulikuwa hujui
[emoji2] [emoji2]Sawa
Mkuu natumia lkn hayaWewe hutumii maziwa mkuu
OK nimekusoma mkuuMkuu natumia lkn haya
Ya kwenye makampuny n shida
Napenda sana mgando
Haya ya kutoka kW ng'ombe direct
Thanx bro, peace be upon you. Vipi uliyapata?Peace to you brother! Peace to you!
Next time just tag me.....Juzi nimetembea kama kilomita 7 kutafuta makange ya kuku!
Thanx bro, peace be upon you. Vipi uliyapata?
Ulipata location gani mkuuNilipiga simu na kuweka Order kabisa.
Niliyala yale mazaga siku ile hadi sikuamini yani.
Ulipata location gani mkuu
Samahani donlucchese hivi unaundugu na Tunda?Hahaha, mkuu ni hobby tu