Brother wangu kama masihara ametimiza miaka 40 akiwa bado kula kulala

Kama babu yao ni kama Jakaya Kikwete kwanini wajukuu wasizaliwe home kwa babu yao? Babu ana mawe ya kutosha kwanini asifurahie uzao wake bwana 😅😅😅
 
Huyo mama lazma ni wa kambo tu! Mke halisi mwenye mji hawezi fukuzwa kizembe
hapana familia mfano ya mzee anategemewa yeye tu despite wamezaliwa 12 yeye wa kwanza basi anabeba majukumu ya familia yote dada zake shangazi zangu ambaye mmoja ni mother wa huyo bro wna watoto wanne wengine watano ila kati ya shangazi zangu 5 mmoja tu ndo kaolewa wengine wamezalishwa na wanaume tofauti na kutelekezwa

kimbembe wale watoto wote wanamtegemea mzee na babu since wanakua hata likizo walikuwa wanakuja kwa mzee sema wengi watafutaji

huyo bro alikuja home maana alizaliwa na matatizo ya miguu na mzee wake alikufa ndugu wa mzee wake walimkataa maana alikuwa gharama kumlea shule aliluwa kichwa ila unyanyapaa ikamshinda mzee akamleta mjini akiwa na miaka kama 15 akatibiwa karudi kwao alivyorudi tatizo likaanza upya
 
Sasa kumbe mtu ana matatizo unapata uhalali gani wa kumnyanyapaa mgonjwa we jamaa? Anyways najua mtakuwa wanyakyusa nyie bila shaka mtoto kwa mjomba wake ana thamani sana
 
hapana bro aliletwa akiwa mgonjwa mtoto wa shangazi akakulia maana mzee alikuwa na pesa kidogo baba wa huyo bro alishakufa
Sawa kwa wanyaki hilo linaeleweka mtoto anakulia kwa kaka wa mama bila shaka ni mjomba wake huyo mzee wako so hainaga shida.
 
Sawa kwa wanyaki hilo linaeleweka mtoto anakulia kwa kaka wa mama bila shaka ni mjomba wake huyo mzee wako so hainaga shida.
hainaga shida huyo anakaa hapo tu kula juu yake sema kuna kipind matatizo yanamrudia mfano miguu inakosa nguvu hii huko nyuma ilimpelekea kufukuzwa kazi ikimshika hawexi kutembea na kazini ni mbali wiki mbili inaweza mtokea

kutokana na mtatizo haina shida kwake kwao hali mbaya wadogo zake wameolewa wengine wadogo wacha akae home ila chakula anakula juu yake
 
 
Wabongo bhana. Yaani kila uchao kufuata fuata maisha ya watu. Amekuja kukuomba kitu au pesa kwako? Kama huna la kumsaidia piga kimya, acha kupuyanga kwenye mitandao na udaku
 
Kiukweli kukaa nyumbani tu si vyema, hasa kwa kijana mwenye nguvu zake lazima ufanye jitihada za kujikomboa, kama familia inajiweza pia unatakiwa ujue unakaa hapo kwa minajiri ipi, kwa familia za kipato cha chini utajifukuzisha mwenyewe kabla ya kufukuzwa. Mana hautakosa kuona kila aina ya rangi japo ni kwenu.

Kurudi nyumbani na kujipanga upya si dhambi kama mambo yameenda ovyo, ila unatakiwa kukaa ukiwa una set mambo yako na mwisho wa siku unarudi vitani na nguvu mpya.
 
Mshauri ahamie kwako!
 
nilisha mueleza jamaa hajibu kitu nina umia mm nilivyomaliza chuo sijakaa hata wiki hapa dar nilirudi home tena kwenda kijijini kuanza mishe maana kwetu mjini nikawa nalaza elfu 4 maisha yanaenda

jamaa kushinda na tv tu
Niuzie hiyo tv akose cha kuangalia
 
Sasa kumbe mtu ana matatizo unapata uhalali gani wa kumnyanyapaa mgonjwa we jamaa? Anyways najua mtakuwa wanyakyusa nyie bila shaka mtoto kwa mjomba wake ana thamani sana
Hatuja mnyanyapaa mimi kama mim umelewa na hayo makabila ya ovyo sipo huko point ni mother aligombana na mzee akihusihwa kunyanyapaa ikiwa ni shinikizo la ndugu wa baba aondoke mama balaa mzee anampigia mother goti mpaka kesho arudi ni miaka 10 sasa hajarudi

jamaa ana tatizo ishu ipo kwa shangazi ndo wnamchomea
 
Kwa Wanyaki hio ni kawaida mbona😅 wala usishangae! Wakiamua lao kama ukoo ujue mama yako ilikuwa lazma asepe tu! Wasingemuacha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…