Brother Mo Dewji, seriously??

Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Mbona Katika ukoo wenu hakuna hata mmoja aliyejitokeza KUOA ama KUOLEWA na Mchaga ama Muhaya....!!?
Ama na nyie mnaendekeza UBAGUZI..!
 
Katika sisi tuliopo hapa nani anayo biashara akamuajiri mtanzania mwenye asili ya Asia?
Hii kawaida sana ukenda ukimkuta mhaya ataajiri posti zote kuu katika kampuni yake wahaya. It's the way it is .ukenda arabuni mambo ni hayo hayo ..sioni la kushangaza
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Mtu mweusi ni kama cobra,si wa kufanya naye mazoea maana ndiye kiumbe anayeongoza kwa ubaguzi duniani!Leo hii si ajabu kuona mbunge mweusi Sweden lakini kuona mbunge mzungu hapa kwetu ni vigumu sana.Maneno atakayokutana nayo ya ubaguzi ni mazito mno!Kwenye BSS tu mlimnyima ubingwa mzungu kichaa japo watu walimpigia kura,halafu wewe unasema nini?
 
hata ningekuwa mimi management level watanzania weusi ni wezi sana... bora uweke weupe tu
 
Reactions: SDG
Ile ni family company na uongozi wa hizo company ni kifamilia hiyo ndio style ya Indians hivyo usitegemee kukuta ngozi nyeusi pale.
 
Reactions: SDG
I thought you where.....?
I thought you were....?

Atasema hao ni wazaliwa wa igunga na shinyanga so ni watanganyika kama yeye........bullshit
 
Uyu si ndio amepeleka ardhi yetu uholanzi?
 
Reactions: SDG
Mimi mweusi sina rafiki muhindi hata mmoja.

Inategemea, wewe umekulia kwenye stoo ya weusi, muhindi utamtoa wapi, lakini yy ni muhindi/whatever na kakulia kwenye stoo ya weusi! Hebu angalia hii scenario!!!!!
 
Reactions: SDG
Hao kanjibahi waone tu hivi hivi... Ila kwenye mambo ya Nyeupe na nyeusi ni mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati.
 
Reactions: SDG
Ile ni family company na uongozi wa hizo company ni kifamilia hiyo ndio style ya Indians hivyo usitegemee kukuta ngozi nyeusi pale.
hivi unaweza kufungua company india na usiweke muhindi kwenye top management?? hata accountant ??? h ha ha
 
Hakuna watu wabaguzi kama Mabohora( dewji nae) Hawa wanawabagua hata wahindi wenzao na kwao ni najisi kuoa au kuolewa na mtu nje ya bohora
Na bidhaa nazo wanauziana wenye we kwa wenye we au?Soko linakutambua
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…