BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,102
- 14,024
Kama hajui ladha ya alcohol na hayupo tayari kujaribu huyo ndio mwanamke unayemuhitaji kwenye maisha yako brother keep that woman.
Anapenda fashion but sio mtumwa wa fashion akipitwa na style inayotrend kwake sio big deal brother unamuacha mwanamke wa aina hii kweli? mungu akupe nini Macmuga.
Kila wakati anakuumiza ununue kiwanja na ujenge hata kama ni chumba kimoja huko kibaha ili aweze kufuga ama kulima bustani kwa uhuru huyo ni heaven sent shikilia hapohapo brother huku ground wanataka show off
Hivi brother Mwanamke anayejua kupika dagaa mwanza wakawa watamu unamuachaje ukizingatia bei ya nyama saa hivi ni tarakimu tano komaa naye huyo mtu.
Mwanamke yupo kwenye vikundi vya kukopa na kuweka akiba akipokea mchezo ananunua mapazia, mashuka, vyombo ili mnapoishi papendeze ama anakumbuka hata kukunulia nguo aisee that success brother.. please I beg you don't let her go.
Jumamosi anaenda jumuiya jumapili kanisani anahofu ya mungu na anajua watoto watahitaji ubatizo, komunio na kipaimara kwa mara nyingine brother nakuomba usimuache huyo Mwanamke
What are you waiting for brother weka laki Moja kwenye bahasha mpe mshenga apeleke kwa wazazi wake mahari utalipa kidogo kidogo.