Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
- Thread starter
- #21
Au mna jipromo100% naunga mkono hoja.
wapo vizuri.
Au mna jipromo100% naunga mkono hoja.
wapo vizuri.
WanakujaKadoo securities vp? Nani kaweza kuitumia
Treasury bond tenaHapo ndio napomkubali Maria, mzuri halafu very cooperative. Treasury Bond oyeeee
Itabisaidia nn pole
Nielekeze kinaga ubaga...ili niweze kununua hisa...au kuwekeza...!Nawatumia SOLOMON BROCKERS,sijawahi kupata changamoto yoyote..kwenye kuuza wala kununua hisa..
Ni somo pana kidogo mkuu..ila nyuzi za elimu ya hisa zipo za kutosha tu humu mkuu..unaweza kuzicheki.Nielekeze kinaga ubaga...ili niweze kununua hisa...au kuwekeza...!
Kuna order zangu zimekwamaBadilisha broker
Huyo dalali/broker sio muaminifu , Kuna uwezekano atakuwa anatumia pesa zako kwenye stakes nyingineKuna order zangu zimekwama
Inawezekana etHuyo dalali/broker sio muaminifu , Kuna uwezekano atakuwa anatumia pesa zako kwenye stakes nyingine
Ndio hivyo mkuu, hizi KAZI za kumpa MTU pesa zako awe anazi monitor inahitajika ukweli na uhakika+ uaminifu/Trust .Inawezekana et
Sawa Mkuu upo sahihi.Au mna jipromo
SawaNdio hivyo mkuu, hizi KAZI za kumpa MTU pesa zako awe anazi monitor inahitajika ukweli na uhakika+ uaminifu/Trust .
Endelea kufanya uchunguzi utawapata ambao ni Trusted
Umemtumia kwa muda ganiNawatumia SOLOMON BROCKERS,sijawahi kupata changamoto yoyote..kwenye kuuza wala kununua hisa..
Bongo watu wanavipa muda vitu vya hovyo..Vitu serious hatuvichukulii Kwa uzito kabisa, mambo ya hisa ni sensitive but waaapi...hii changamoto inawakumba wengi Sana.
Asante, Orbit Security ni tatizo.Nawatumia SOLOMON BROCKERS,sijawahi kupata changamoto yoyote..kwenye kuuza wala kununua hisa..