Broiler sio kuku wa kula kabisa!!

Kwa hiyo ukaagiza supu ya kabeji?
 
Broiler anavuraga bustani?
 
Ulaya wanakula kuku kissing?
 
kabisa kama unao waache 5 hadi kumi wafuge kawaida kama kuku wa kienyeji halafu utaleta majibu hapa ndugu
Labda wale chotara. Broiler unawajua lakini boss? Wale kuku ni wazembe hata kutembea kwa kasi hawawezi.
 
Nilikuwa siamini mkuu kuna mtu hawezi kula kuku kienyeji kabisa anakwambia wananuka mavi na si utani halikabisa
 
Labda wale chotara. Broiler unawajua lakini boss? Wale kuku ni wazembe hata kutembea kwa kasi hawawezi.
kwenye hili nina hakika kabisa ndugu kma una hata rafiki yako mwambie awajaribu wachache muone , wakishakomaa waachie nje sema kwenye fence pole pole utashangaa wamekuwa kama chotara
 
Wakuuu, kuku wa kienyeji wa kuoka mzima pure kienyeji,, karibuni Sana unampata kuku kasoro manyoya na utumbo tuuu! Haha 😂
 
kwenye hili nina hakika kabisa ndugu kma una hata rafiki yako mwambie awajaribu wachache muone , wakishakomaa waachie nje sema kwenye fence pole pole utashangaa wamekuwa kama chotara
Ok mkuu, ngoja ntamwambia jamaa mmoja huwa anakua nao kama 10,000 hivi kila miezi miwili.
 
Nilikuwa siamini mkuu kuna mtu hawezi kula kuku kienyeji kabisa anakwambia wananuka mavi na si utani halikabisa
Mkuu mazoea huzaa tabia nadhani!

Mtu anathamini alichozoea kula, ingawa kwa wasiozoea huona tofauti.

Ona sasa, watu hukimbilia kula kuku kwa brand name 'kienyeji', mwingine kumbe hali!

Tuseme vyakula hivi huliwa kwa mazoea pamoja na tamaduni za watu.

Utaona Mchina karost mbwa ama punda akifakamia kwa furaha kabisa, usimbeze, ni vyakula vyao pendwa!
 
Broiler hapikwi supu.Ni watamu sana wakipikwa vizuri
 
Watu wajinga sana humu,

Hata kuku wa kienyeji mtetea anataga vizuri tu pasi kupandwa wala uwepo wa jogoo.

Jogoo kazi yake kurutubisha hayo mayai kabla hayajatagwa.
 
Hao ni kuku wa vijana wa dar. Sili kabisa hizo takataka hata jamii ya hiyo. Hata mayai hayo situmii. Wazungu kwa makusudi wamewaletea uozo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…