Man fila ndu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 876
- 721
Kaka usisingizie Bloila imawezekana mkeo ni kimeo hajui kupika.Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa
Kuku wasio na baba wala mama!!
Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Kuku wanao ota motoHawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa
Kuku wasio na baba wala mama!!
Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Nimeshangaa kweliBroiler kwa supu hapana. Broiler mapishi yake wa kuchoma au wa kukaanga tena awe marinated vizuri kwa muda ndio apikwe. Ila supu mmhhh
All EU ndiyo kuku wetu hawa, ndiyo protein nafuu mno!Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa
Kuku wasio na baba wala mama!!
Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Kongoro ya kitimoto?Kwa sisi tuliokulia nyumba zinazofuga nguruwe supu tumekunywa ni tamu hasa supu ya kongoro
Miguu ya wanyama si inaitwa kongoro?Kongoro ya kitimoto?
Mnatuchanganya sisi wengine hatubagui chakula kwanza ni zambi kuacha chakula.Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa
Kuku wasio na baba wala mama!!
Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Sijawahi kuona kongoro ya kitimoto..Miguu ya wanyama si inaitwa kongoro?
Kumbe unatumia mduduSijawahi kuona kongoro ya kitimoto..
Mimi hata ukipika soksi ukaziunga vizuri nakula, we pika hapo uone kama siji kula..Kumbe unatumia mdudu
Karimu! Allah si amekataza?Mimi hata ukipika soksi ukaziunga vizuri nakula, we pika hapo uone kama siji kula..
Nani alikuambia mimi muislamu?Karimu! Allah si amekataza?
Nilivyoona una rangi ya kisomali na uchebe nikajiongezaNani alikuambia mimi muislamu?
hii si kweli , kuna kipindi nilikuwa nafuga sana kuku miaka hiyo ya 2005 nikishauza broiler wakiachwa wachache wale waliodumaa kidogo nawatoa nawachanganya na kuku chotara enzi hizo kenbro, wanakaa humo hadi wili 12 au miezi 5 wanakomaa vizuri kabisa na wanakuwa wakubwa kg 3 na wanazoea hadi kuvuruga mabustanini hukoBroiler inasemekana akila wiki nane ananenepa saa yoyote anapata mshtuko wa moyo anakufa.
Aisee!! Pole sana...Nilivyoona una rangi ya kisomali na uchebe nikajiongeza
Milele AminaAisee!! Pole sana...
Tumsifu kristo ?
Mbona mbu anaishi siku 7 na anaambukiza malariaKuku wiki nne keshanenepa.