Bro to Bro...

Bro to Bro...

Hapo kwenye kuwakataa ndugu kwenye biashara ndo umezingua hii roho iko kwenye familia masikin tu kmmk matajiri karibu wote kwenye biashara zao wapo ndugu zao wadamu......kataa roho yahuo umasikin mkuu
 
Bro usiongee maneno mengi wakati wa mechi ni mtego kwako.
Bro linda afya ya akili yako usimfikirie mwanamke kwanza .
Bro jali ndoto zako kwanza na wewe mwenyewe yeye ni second option

Bro usinyooke kama rula kwenye mahusiano wanawake waongo sana

Bro usiamin miniskirt iongeapo jua ni 20% tu ndo ukweli
Bro akikuletea bamiza maana siyo muda ukizubaa utabamizwa
 
Hapo kwenye kuwakataa ndugu kwenye biashara ndo umezingua hii roho iko kwenye familia masikin tu kmmk matajiri karibu wote kwenye biashara zao wapo ndugu zao wadamu......kataa roho yahuo umasikin mkuu
Sahihi kabisa niliwahi kaa na waarabu flani wana showroom na garage aisee karibu wote ndugu.
 
-Hiyo ni starehe kama nyingine tu imagine uko na mrembo mwenye trako kubwa kama posh huku mnakunywa bia, baada ya hapo ni fimbo tu.
- Ghorofa langu la Mapinga nimeshindwa kumaliza kwa sababu ya kutyomba
Eti nimeshindwa ghorofa sababu ya kutyomba 😅🤣😂
 
Back
Top Bottom