Mzembe huyo kijana wa afumbili😂😂😂😂 Mwenzio kachemka kakimbia
Ushauri uchwara.1.Broo.. Kamwe usimtongoze mteja
2. Bro..Mwezi December sio muda wa kupata demu mpya, utayavaa majukumu
3.Bro.. usipige goti, wala kulia Kwa akili ya uchi
4. Bro.. ukichukua namba ya pisi, epuka kutongoza siku hiyo hiyo
5. Bro.. epuka kumweka ndugu kwenye biashara zako
6. Bro SMS ya " naomba tuachane" au "nikwambie kitu" Huwa haijibiwi
7. Bro ikitokea mambo yameenda vibaya labor, okoa mke kwanza
8. Bro.. Kamwe usimheshimu mwanamke mnapokuwa kitandani
9. Bro.. ujumla demu mara kwanza, usimsifie sana, ili awe anaomba mechi mwenyewe
10. Bro.. epuka punyeto, epuka kufanya mapenzi na mwanamke akiwa period ni nksi kubwa
11. Bro ... Oa Binti anayempenda baba yake,
Endelea ......
huwezi elewa nilichoandika kwa akilizako hizo plus kutelekezwa ...polesana
Hizi sheria hawazijui...yanatisha kidogo mashehe wanajua hili
Hii ndio yenyewe na awe na sura ya Baba yake kweli ili ujue kwamba hio mimba alitungisha Baba yake Mama yake hakucheza rafu kwenye vichaka11. Bro ... Oa Binti anayempenda baba yake,
sura personal ndio sura ipi we bwabwa?we lazima utakua na sura personal, nyie ndio mnakua na vi principle vya ajabu.
Wewe sura Yako ikoje,Nina wasiwasi kama umelinda mgongo wako.we lazima utakua na sura personal, nyie ndio mnakua na vi principle vya ajabu.
Halina sheria zozote! Halijawi kuwa principled in this life labda next life.Sheria kibao kila siku,hadi maisha yanakosa maana..
Mkuuu achana na principle kibao izii hazitakusaidia chochote,
Kama vipi njoo hapa kitambaa cheupe mara moja kuna pisi balaa ndo tunataka tuagize shisha hapa..
AChana nae mpumbavu huyo, yani usimpende baba yako kisa chokoraa fulqni01No. 11 kuna mtu aliwahi niacha eti nampenda Sana Baba kuliko yeye 😂😂😂
Wenye taasisi yao ya punyeto wamevurugwa hawajafurahishwaHalina sheria zozote! Halijawi kuwa principled in this life labda next life.
Ni lizee la 60 years. Linajifanya kutoa ushauri wa mambo ambayo hayaendani na umri wake!
Imagine lizee lizima linasema: demu this! Demu zat! Punyeto zis and zat!
Baba mdogo wako aliyefilisika anaendeleaje?AChana nae mpumbavu huyo, yani usimpende baba yako kisa chokoraa fulqni
Pimbi wewe!Wenye taasisi yao ya punyeto wamevurugwa hawajafurahishwa
😅🤣😂Lissu kuwa nyuma ya nondo ndio maisha hayatakiwi kuendelea
Kwa hiyo asipodinya Lissu anaachiwa sio
Akili za kipumbavu hizo
Umelewa wewe, kalale pombe bado zipo kichwani, una sapoti mtu asimpende baba yake kisa zezeta wewe? Unajua wazazi tunavo teseka kuwakuza mabinti zetu unaniletea upuuzi? Nikubandike makofiiiii?Baba mdogo wako aliyefilisika anaendeleaje?
Wenzako akina bahari 1 na Gunner11 walishatoa story za watoto wa baba mkubwa na mama mdogo! Hiyo yote kudhalilisha watu!
Lione! Hujui hata kuandika!
Hivi kwanini mnakosa aibu hivi?
Maandiko yamesema" MDOMO WA MPUMBAVU ULOPOKA POPOTE" nakutakia jpili njemaPimbi wewe!
Jifunze kwanza kuandika! Kabla yakutunga mahadithi ya uongo.
Li picha tu la avatar says a lot.