Bro Nape Nauye yuko likizo?

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Huyu jamaa kimya kimezidi sana au nae ni mmoja wa majipu yanayosubiriwa kutumbuliwa?au hapa kazi tu zimemkata ngebe na mdomo?asante magufuli kwa kudhibiti waongeaji na wavivu wa kazi.
 
CCM Kwakweli Wanajuuuuta. Bulembo ni kama kahama nchi. Hapo ni sawa kabisa. Hi nchi ilikuwa na utawala wa Panya haki yamungu. Asante Magufuli.
 
Mission accomplished! Alishamaliza kaziyake ya kumkata Lowassa..na sasa anajiandaa kuunda kikosi cha mizinga bungeni

Ntamshangaa Tingatinga akifanya kazi na vikengemaji. Magufuli yuko smart haezi kuwa kwenye calibre ya JK.
 
Ccm ni watu wa mikakati wanasubiri muingie king wote na taratibu ukawa wameanza kumkubali JPM wakidhan wanakomoa jk as happen to mkapa in 2005
 
Alisema hakuna mahakama za kifisadi. Magufuli akamkata kimba akasema zipo na zianzishwe. Lazima aisome namba
 
Na yule mwingine wanayemwita jembe a.k.a komredi K naye simsikii.Au wanaisoma namba?
 
Nape amemaliza kazi yake tukufu ya kumkata fisadi na sasa anasubiria kutema cheche bungeni
 
Jamani msidhani kule mjengoni ni kujitemea mate hovyo ka alivyokuwa anafanya na Kinana. Yupo kwenye mazoezi ya namna ya kupambana na kina Halima Mdee na Esta Bulaya. Anatafuta dawa Bagamoyo awapulizie walale usingizi wasimuulize swali
 
Aliambiwa anasumbuliwa na Kubarehe (utoto) akikua ata acha!
Tokea hapo kimya!
Alizoea huku nje ya ngome- kule watu vichwa vinachaji.
 
Nilishangaa huu upande wamekua kimya hata kumpongeza rais ambae amekua gumzo kila kona nchini watanzania wanamwagia sifa bila kujali itikadi za vyama vyao!
 
LAZARO SAMUEL NYALANDU (MB), ... yupo wapi???? Huyu ndiyo aliesema Marekani wamemwomba awe Rais!!!!!!
 
Back
Top Bottom