Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,512
- 14,372
Yaani MIE hapa nawaza kumpata broker wa mkweli asiye tapeli mkuu.unaweza piga mpunga afu usitoke.hapa najisomea vitabu na MIE nilikuwa MTU wa kukomaa.Hiyoni bonge ya trade kaka, watu hawaielewi tu.
Dow Jones imepanda sana leompakainanipashakakwamba nikinunua options, ama risks zangu zita outweigh returns ridiculously, ama nitapoteza hela kabisa kwa kununua high halafu ngomaishuke past my prediction.
Kwa hiyonikisemaleo nisi trade nisubiri wiki ijayo gomalitashuka KimJong Un akipiga bomu sehemu huko au kukitokea mlipuko waugaidi, au kukija hurricane, au Trump akijamba ushuzi mbaya watu wakakasirika, nitakuwa sawa.
Na goma litashuka tu, haliwezikupanda bilakushuka, it is against the laws of Physics and Economics.
Sasa mtu ukielewa hizi entry and exit points,ukatakakuzijua zaidi ili kuwa safe, ukimsikia mtu anayesema hii biashara ni hasara tupu utamsikiliza, kwa sababu hayupo totally wrong,ukiingiakichwa kichwa utapoteza helanyingi sana.
Lakini kama unafanya homework, unafanya risk management,unaangalia fundamentals,unaangalia pivot points, support points, resistance points etc, unakuwa una approach trades na informed decisions kiasi kwamba trade moja ikiharibu una nafasi tatu nyingine za kuibadilisha, na ukiona nyingi zinaharibu unachukua likizokidogo kutoka kwenye market maana inawezekana "shetani" wako siku hiyo hataki u trade.
Kwa hiyo ushauri huu wa kuogopa markets si mbaya, kwa sababu una ukweli mkubwa - a lot of these brokers are unregulated gambling dens- lakini, ukwelihuu si kila mahali, kuna risk minimization ways kibao.
Mimi tangu mdogo nasikiliza BBC World Service. Daily.Tangu kwenye "World Receiver"ya mshua kutumia Short Wave.Yaani MIE hapa nawaza kumpata broker wa mkweli asiye tapeli mkuu.unaweza piga mpunga afu usitoke.hapa najisomea vitabu na MIE nilikuwa MTU wa kukomaa.
Kwa ushauri pakua applications za international broadcasting muda wote uwe updated pia n kuwa follow viongozi wa dunia pale Twitter. Tukio lolote wana twitt. Akina Merkel,trump,wa jàpani,n.k
Hahahhahaha, kwanini mdanganye watu kwamba watapiga pesa mkuu , na mnawatia sana matumaini? Hivi ingekuwa rahisi namna hiyo watu wangepoteza muda kufanya shughuli nyingine na kama ni shule wasomee Forex tu?
darasa lilikuwa wazi na wanafunzi walikuwa wakijisomea kwa uhuru na amani tele(kwa muda wa asbh nilivyofika hapo)Wakuu leo training ilikuwepo as usual ? au wenye roho mbaya walifanikiwa azma yao
Good feedback SingoMadarasa yalikuwa wazi na watu walikuwa wakijisomea kwa Uhuru na amani tele
Deep down the earth commentUshauri wangu kwa vijana wadogo mnaotaka mafanikio makubwa.
Kimbia Tanzania haraka na mapema iwezekanavyo, hakuna la maana utakalopata ukijidai we ni mzalendo.
Nimesikitishwa sana kusikia TMT imevamiwa na polisi, hizo sio dalili nzuri nawaambia.
Siku sio nyingi mtasikia mnatakiwa kufunga TMT hadi siku walio na mamlaka wakiamua vinginevyo..
Hii nchi ya kis3ng3 sana, watu wanafurahi wakiona wenzao ni masikini.
Elon Musk ameondoka South Africa kwenda Marekani, leo mnaona anachofanya.
We endelea kubaki Tanzania uendelee kushika bomba la mwendokasi maisha yako yote.
Promo zinazovuma humu siyo za kitotoNani amekwambia Forex ni "rahisi namna hiyo"?
Promo zinazovuma humu siyo za kitoto
Nasubiria kuona namna mnavyochuma mahela wakuuHakuna promo yoyote wewe ni mvivu wa Kusoma, internet iko kwa ajili yako fanya "surfing" Ulimwengu unakuacha mbali sana.
Jifunze hata ku quote watu ili kama na kuja kukukojolea nikukojolee mdomoni vizuri na mapema guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.Acha uongo wewe eti ulishajisajili tangu 1999
Maana unasikia 90% wanaofanya forex wanaloose,acha kunitia aibu,jaribu kusoma soma kidogo vitabu hata kugogle ,stop being lazy,unasikia,hunauwakika,lakini kuna binadamu wengine tumeumbwa hatupendi kusoma vitu ambavyo vinapanua mawazo yetu,zaidi tunapenda magazeti ya kipuuzi na udaku!!!lakini yakutuongezea mbinu tunakuwa wavivu mbaya!!!poor us Tanzanians!!!kuna tofauti gani kati ya kamari na forex trading mkuu.maana nasikia 90% ya wanaofanya forex wanaloose. unadhani nyie watanzania mmejipanga kivipi ila msiwe kwenye hiyo 90%?
Nasubiria kuona namna mnavyochuma mahela wakuu
Kwenye dummies hakuna mtiririko mzuri kulinganisha forex bible unaweza kukuta terminology za forex kwenye dummies zikiwa zinatumika mwanzoni pasipo kuelezea maana yakeAhsante kwa ushauri. Na ni kwanini nianze na Forex Bible? kuliko kuanza na Currency Trading for Dummies.
BTW... I like your Signature: ''Winners are not those who never fail. Winners are those who never quit. ''
-Kaveli-